Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,352 Reaction score 9,778 Jan 26, 2025 #181 Pole mkuu. Amka sasa ukatafute zingine.
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,429 Reaction score 5,469 Jan 26, 2025 #182 Binafsi kwangu wamefanya majaribio ya kuvunja Kwa na Jana ni awamu ya nne wamefanikiwa kuiba nimeamua maamuzi magumu albadiri nitaisoma ili tuheshimiane
Binafsi kwangu wamefanya majaribio ya kuvunja Kwa na Jana ni awamu ya nne wamefanikiwa kuiba nimeamua maamuzi magumu albadiri nitaisoma ili tuheshimiane
Pumba Master Senior Member Joined Jan 19, 2018 Posts 181 Reaction score 194 Jan 26, 2025 #183 Gulio Tanzania said: Pole mkuu umenikumbusha nilivyopigwa na tapeli wa jf kipindi najiunga humu niliumia mana sikutegemea jambo lile Click to expand... Alikupiga kwa dizaini gani mkuu, tunaweza labda kujifunza kitu..
Gulio Tanzania said: Pole mkuu umenikumbusha nilivyopigwa na tapeli wa jf kipindi najiunga humu niliumia mana sikutegemea jambo lile Click to expand... Alikupiga kwa dizaini gani mkuu, tunaweza labda kujifunza kitu..
P Pelly JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 265 Reaction score 341 Jan 26, 2025 #184 Kazini kuna kazi, KWENYE biashara kuna biashara ila mtaani kuna kazi zaidi yaani nyingi Ajira hakuna
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Jan 26, 2025 #185 Dejane said: Nishagasahau kama upo humu Click to expand... Nipo sana mtu wangu usinisahau. Umri umeenda sana ndio maanaπ
Dejane said: Nishagasahau kama upo humu Click to expand... Nipo sana mtu wangu usinisahau. Umri umeenda sana ndio maanaπ
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,006 Reaction score 72,305 Jan 26, 2025 #186 Saint Ivuga said: Nipo sana mtu wangu usinisahau. Umri umeenda sana ndio maanaπ Click to expand... πππππ
Saint Ivuga said: Nipo sana mtu wangu usinisahau. Umri umeenda sana ndio maanaπ Click to expand... πππππ
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,305 Jan 27, 2025 #187 Antonio de Guzman said: Wewe ngoja siku simba ikifungwa tu lazima nikutafute Click to expand... Dooh usitake kunambia ww ni wa kule gusa achia
Antonio de Guzman said: Wewe ngoja siku simba ikifungwa tu lazima nikutafute Click to expand... Dooh usitake kunambia ww ni wa kule gusa achia
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,305 Jan 27, 2025 #188 PSL god said: Heri ya mwaka mpya mtani wangu Nikiona I'd yako nasikia raha japo ninaumia kuona simba wanatoboa ligi ya mabingwa na ligi kuu πππ Anyway usiku mwema mtani π€β€οΈ Click to expand... Jamani usiumie mtani...mambo ya kawaida kila jambo lina wakati wake....nasikia raha pia nikikuona jukwaani... π π π
PSL god said: Heri ya mwaka mpya mtani wangu Nikiona I'd yako nasikia raha japo ninaumia kuona simba wanatoboa ligi ya mabingwa na ligi kuu πππ Anyway usiku mwema mtani π€β€οΈ Click to expand... Jamani usiumie mtani...mambo ya kawaida kila jambo lina wakati wake....nasikia raha pia nikikuona jukwaani... π π π
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,679 Jan 28, 2025 Thread starter #189 Kalpana said: Dooh usitake kunambia ww ni wa kule gusa achia Click to expand... Mi ni wa Liverpool best na uku tz sipo popote
Kalpana said: Dooh usitake kunambia ww ni wa kule gusa achia Click to expand... Mi ni wa Liverpool best na uku tz sipo popote
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,154 Jan 28, 2025 #190 Antonio de Guzman said: Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari ππ Click to expand... pole sana,Jana hiyo hiyo nimepigwa 488000 kupitia simu
Antonio de Guzman said: Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari ππ Click to expand... pole sana,Jana hiyo hiyo nimepigwa 488000 kupitia simu
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,679 Jan 28, 2025 Thread starter #191 balibabambonahi said: pole sana,Jana hiyo hiyo nimepigwa 488000 kupitia simu Click to expand... Duh pole sana mkuu
balibabambonahi said: pole sana,Jana hiyo hiyo nimepigwa 488000 kupitia simu Click to expand... Duh pole sana mkuu