kuhusu wanawake wenye chunusi

Kipara na kugawa uhusiano wake uko wapi??..kwamba kikipigwa na jua ubongo unachemka, joto linasambaa mwilini na genye zinaongezeka ama??
hapana ila medemu wengi amabao mimi nimewaona wananyoa vipara huwa wanagawa sana ,,,kwangu mimi lakini
 
Kipara na kugawa uhusiano wake uko wapi??..kwamba kikipigwa na jua ubongo unachemka, joto linasambaa mwilini na genye zinaongezeka ama??
Hahaha au kipara kikipigwa na jua kinaheat anakua hajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…