G gkipps Member Joined Dec 29, 2011 Posts 31 Reaction score 3 Dec 15, 2012 #1 Wanajamii,kwa wale walioitwa kazini kwa nafasi tajwa hapo juu..je wenzangu barua zenu mmezipata kwenye box zenu za posta?maana mimi hadi leo sijapata.tusaidiane kwa hilo
Wanajamii,kwa wale walioitwa kazini kwa nafasi tajwa hapo juu..je wenzangu barua zenu mmezipata kwenye box zenu za posta?maana mimi hadi leo sijapata.tusaidiane kwa hilo
M mtendaji wa kijiji JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 533 Reaction score 115 Dec 15, 2012 #2 Nenda kwa mkurugenzi wa wilaya uliyopangiwa wenzio walisharipoti. Kama unasubir barua utasubr xn
G gkipps Member Joined Dec 29, 2011 Posts 31 Reaction score 3 Dec 15, 2012 Thread starter #3 Aisee hata mi nimejiongeza na nilikuwa na wazo hilo maana posta siwaamini hata kidogo!ngoja j3 niamkie huko!thanks buddy kwa ushauri wako
Aisee hata mi nimejiongeza na nilikuwa na wazo hilo maana posta siwaamini hata kidogo!ngoja j3 niamkie huko!thanks buddy kwa ushauri wako
yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Dec 15, 2012 #4 gkipps said: Aisee hata mi nimejiongeza na nilikuwa na wazo hilo maana posta siwaamini hata kidogo!ngoja j3 niamkie huko!thanks buddy kwa ushauri wako Click to expand... hata utumishi pia ulikua huwaamini hvyo hvyo mpaka leo umekua WEO....taratibu utarud tu kwenye line...
gkipps said: Aisee hata mi nimejiongeza na nilikuwa na wazo hilo maana posta siwaamini hata kidogo!ngoja j3 niamkie huko!thanks buddy kwa ushauri wako Click to expand... hata utumishi pia ulikua huwaamini hvyo hvyo mpaka leo umekua WEO....taratibu utarud tu kwenye line...
G gkipps Member Joined Dec 29, 2011 Posts 31 Reaction score 3 Dec 16, 2012 Thread starter #5 Mbona hujaeleweka?ulijipanga kweli kabla hujaandika hiki ulichoandika?