Yap huwa zinaenda hivyo na still balance inpungua au inaongezeka na amount ile ile aliyotuma jamaa
Kama balance mpesa ilikuepo 50000 jamaa akatoa 3000 utaona kweli imeongezeka 53000 utakuja shtuka pale atakapotoa mwingine maana utakuta balance tofauti ukiuliza makao makuu watakwambia hakuna transaction yoyote iliuofanyika
System zao kuwa hijacked ni vigumu ! Kwamba wahuni wawe wanafanya kamchezo hako ! Hapana !
Ila kuna ishu moja hivi !
Yaani kwamfano mimi ni mmiliki wa M-PESA wewe unapokuja kutoa hela kwangu ! Lets say !
Umekuja kutoa Tsh 35000/=
ntaanza mimi mmiliki kutumiwa sms baada ya wewe kukamilisha muamala mzima ! Baada ya hapo itabidi nisubiri na kwako SMS iingie mana some times PESA huwa inarudi !
Na hata kama tunatumiana PESA rafiki na rafiki ! Sometimes huwa inarudi !
Network ikiwa inazingua !
Ndipo inaonekana No transaction Done there !
MTU anatoa labda 20000 na sms inaingia kabisa kwa wakala unampatia ela mteja ukija kuangalia salio km wakala unakuta hakuna salio lililoingia!!Mi imenitokea kwa Tgo pesa
mawakala wengi si waaminifu unaeza kumpa pesa kakiwekea ktk simu ukiondoka tu anapiga simi costomercare kuwa kakosea no na pesa yote anarudishiwa.watu wengi wamekimumbwa na zahama hiyii.hivyo tuwe makini na hawa mawakala