karimu mtila mohamedi Member Joined Jan 4, 2016 Posts 42 Reaction score 10 Jan 8, 2016 #1 Hellow wadau hawa uhamiaji lini watatoa majina ya usaili. Asanteni.
G GOD 66 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 628 Reaction score 270 Jan 9, 2016 #2 Bdoo sana mwez wa 3
C CHA2 Member Joined Sep 9, 2014 Posts 6 Reaction score 3 Mar 21, 2016 #3 Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014
Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014
sirmz ndola JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 273 Reaction score 32 Mar 21, 2016 #4 Waliandikisha wapi mtaani au jkt
Prince M Mwakyusa JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 374 Reaction score 185 Mar 22, 2016 #5 CHA2 said: Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014 Click to expand... hayo majina yaliandikishwa WAP?
CHA2 said: Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014 Click to expand... hayo majina yaliandikishwa WAP?
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,079 Mar 22, 2016 #6 CHA2 said: Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014 Click to expand... Juzi ipi iyo mkuu?au unakusudia zile nafasi za mwaka jana?maana zile ndo zilikuwa na hivo vigezo.
CHA2 said: Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014 Click to expand... Juzi ipi iyo mkuu?au unakusudia zile nafasi za mwaka jana?maana zile ndo zilikuwa na hivo vigezo.
fab280391 Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 122 Reaction score 31 Mar 22, 2016 #7 Prince M Mwakyusa said: hayo majina yaliandikishwa WAP? Click to expand... ni kweli wameandikisha tena kwenye kambi za JKT nina rafiki yangu yupo Kabuku jkt Tanga amenithibitishia hilo.
Prince M Mwakyusa said: hayo majina yaliandikishwa WAP? Click to expand... ni kweli wameandikisha tena kwenye kambi za JKT nina rafiki yangu yupo Kabuku jkt Tanga amenithibitishia hilo.
fab280391 Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 122 Reaction score 31 Mar 22, 2016 #8 CHA2 said: Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014 Click to expand... ni kweli kaka upo sahihi nafasi za uhamiaji zimetangazwa upya katika kambi za JKT
CHA2 said: Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014 Click to expand... ni kweli kaka upo sahihi nafasi za uhamiaji zimetangazwa upya katika kambi za JKT
C CHA2 Member Joined Sep 9, 2014 Posts 6 Reaction score 3 Mar 22, 2016 #9 Juzi ijumaa mm npo jkt wameandka barua na jumapili zmepelekwa makao makuu ya uhamiaji,
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,079 Mar 23, 2016 #10 fab280391 said: ni kweli kaka upo sahihi nafasi za uhamiaji zimetangazwa upya katika kambi za JKT Click to expand... kwa maana hiyo zile za uraiani ndo zishafeli wakuu?!dah inasikitisha sana aise
fab280391 said: ni kweli kaka upo sahihi nafasi za uhamiaji zimetangazwa upya katika kambi za JKT Click to expand... kwa maana hiyo zile za uraiani ndo zishafeli wakuu?!dah inasikitisha sana aise
fab280391 Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 122 Reaction score 31 Mar 23, 2016 #11 talentboy said: kwa maana hiyo zile za uraiani ndo zishafeli wakuu?!dah inasikitisha sana aise Click to expand... hapo sifahamu kaka
talentboy said: kwa maana hiyo zile za uraiani ndo zishafeli wakuu?!dah inasikitisha sana aise Click to expand... hapo sifahamu kaka
sirmz ndola JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 273 Reaction score 32 Mar 23, 2016 #12 Za uraiani ndoo imelima hivyo
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,888 Mar 26, 2016 #13 Prince M Mwakyusa said: hayo majina yaliandikishwa WAP? Click to expand... Subiriwatakuita
Prince M Mwakyusa JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 374 Reaction score 185 Apr 2, 2016 #14 Pdidy said: Subiriwatakuita Click to expand... Imeshatoka hiyoo
Prince M Mwakyusa JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 374 Reaction score 185 Apr 2, 2016 #15 fab280391 said: ni kweli kaka upo sahihi nafasi za uhamiaji zimetangazwa upya katika kambi za JKT Click to expand... Usaili lini wamesemaa???
fab280391 said: ni kweli kaka upo sahihi nafasi za uhamiaji zimetangazwa upya katika kambi za JKT Click to expand... Usaili lini wamesemaa???
K khurayra023 New Member Joined Feb 24, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Apr 4, 2016 #16 kwa hio wale walioandika barua mwz wa 11 vipi ila mara nying immigration wanaenda koz pamoja na jesh la polisi
kwa hio wale walioandika barua mwz wa 11 vipi ila mara nying immigration wanaenda koz pamoja na jesh la polisi