K KANAN Senior Member Joined Aug 20, 2011 Posts 124 Reaction score 39 Jul 9, 2012 #1 Wadau niliomba kazi NHIF kama COMPLIANCE AND FIELD OPERATION OFFICER III, kuna tetes kwamba wameshaita watu kwenye usaili. naomba kama kuna mwenye kujua zaid tafadhali aniweke wazi juu ya tetesi hizo.
Wadau niliomba kazi NHIF kama COMPLIANCE AND FIELD OPERATION OFFICER III, kuna tetes kwamba wameshaita watu kwenye usaili. naomba kama kuna mwenye kujua zaid tafadhali aniweke wazi juu ya tetesi hizo.
H hakiwapi New Member Joined Jul 8, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Jul 9, 2012 #2 Mdau pale hata usihangaike mkurugenzi wao anaajiri watoto wa vigogo tu.
K KANAN Senior Member Joined Aug 20, 2011 Posts 124 Reaction score 39 Jul 9, 2012 Thread starter #3 mh.iiiiiii ngoja basi nirudi kulima.
E E52 Member Joined Oct 31, 2010 Posts 81 Reaction score 14 Jul 9, 2012 #4 tuliomba wengi mazee....zile nafasi tayari zina wenyewe