Kuhusu uongozi.

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,873
Reaction score
7,145
Habari zenu wotehumu.

Ninaomba kufahamishwa kitu hapa tafadhali.
Ni kuhusu uongozi, kwamba katika nchi kuna viongozi wakuu.

Kwanza ni,rais 2,makamu wa rais.. alafu kuna waziri mkuu, jaji mkuu, na spika wa bunge.

Sina mashaka na nafasi hizo mbili hapo juu, ila naomba kujuzwa baada ya rais na makamu wake kimamlaka nani anaweza kuiongoza nchi direct kama hao watu wawili hawapo, yani wakiwa nje ya nchi ama vyovyote.
Sisi wana nchi tunaripoti kwa nani kwa waziri mkuu?, na kama hayupo tuna ripoti kwa jaji mkuu, ama spika wa bunge.

Wahenga wanasema kuuliza sio ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…