India na sisi wote ni dunia ya tatu, mambo tunayofanya hayaeleweki.Ni hivi wakuu,jana kuna mahali nilikuwa nipo kwenye mishe zangu tu za maisha ya kawaida........pale nilipokuwepo jamaa mmoja akanistua hebu cheki kule.....ilikuwapo tv nas ilikuwa inaonesha habari live kutoka india........eti askari wanawachapa watu fimbo hadharani nilishangaa sana.......hivi kumbe hadi uko dunia ya pili viboko ni kama kawaida tu.....sasa uku kwetu mbona inakuwa ni balaa sana .......vipi mawazo yako hapo je ni sa hihi kuchapana hadharani wakati kira mtu ana moyo na figo yake......??
Hii nguvu kubwa wanayotumia haifaiIndia cha mtoto boss,cheki hapo kwenye shithole Uganda kinachoendelea.View attachment 1400353View attachment 1400354View attachment 1400355View attachment 1400356uView attachment 1400357View attachment 1400361View attachment 1400362View attachment 1400363View attachment 1400364
Kwenye hili polisi ndio wajinga nadhani. Hivi polisi huwa hawana ustaarabu wa kumwambia mtu kitu kisichotakiwa kwa ustaarabu?
India cha mtoto boss,cheki hapo kwenye shithole Uganda kinachoendelea.View attachment 1400353View attachment 1400354View attachment 1400355View attachment 1400356uView attachment 1400357View attachment 1400361View attachment 1400362View attachment 1400363View attachment 1400364