Kuhusu suala la Vitambulisho vya Mjasiriamali nampinga Lissu milele

mzee sema wewe kama hujawah kujua adha ya kulipa ushuru kila siku.Vitambulisho vimeondoa kero za kukamatwa kamatwa sasa hiv wananchi wanafanya beshara zao uhuru.Tawi letu ufipa tunasema tunaamua kuwa wazalendo
Ndio Lisu anakwambia kua,ukimchagua hautaona wagambo wakikusumbua,na kodi pia hautotozwa wewe chinga.
Hao wagambo wanao wasumbua Lisu hawataki kabisa,na hawatakuwepo.
 
Yaani katika vtu vimeleta ahueni katika biashara ni hivi vitambulisho. Kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo pia.stak kuongea sana

Ila amini nakwambia..kama mfanya biashara una akili nzur ...utaviheshimu hiv vitambulisho, Lissu kwa hili umechemka

Narudia tena.kama ni mfanya biashara.uwe mkubwa ama mdogo..kama una akil vzur.hiv vitambulisho ndio tobo lenyew la kuiona chi ya maziwa na asali.

Uzi tayar
Sasa wewe, unaona wenzio wameufyata kila kona wanachukua mpira wanaweka kwapani kwani husikii sasahivi wanawasimamisha tu wabunge wa chadema kuendelea na kampeni? Wameishajua wameshindwa kilichobaki ni kupora
 
Kwa kua umenidhihaki ngoja nami nikujibu hivyo hivyo jino kwa jino dogo.
Mim kama mjasiriamali nijue nin cha zaid ya nilichokwambia...hiv ukipita kkoo ukaona watu wanauza vitu kama machinga sawa na vinavyouzwa dukan unaelewa nin we pimbi...elewa kua mwenye duka yule yule kagawa vtu vyake kwa machinga na sasa kwa kutumia vitambulisho anauza kwa amani bila bugudha..wew uko nyumban kwa shemej huwez ona faida
Mdogo wangu nimeanza kuitafuta pesa nikiwa Secondary,,,hebu punguza umama kwanza,,,mimi nina jitegemea na mjasiria mali najua adha ya hii serikali ya unyang'anyi wewe endelea kusugua gaga na kupiga chabo dada ako hapo amepika nini upakuliwe kisha jioni abanduliwe kwa naiba yako ili wewe undelee kufugwa.

Acha utoto kwenye maisha ya watu mbuzi wewe.
 
Yaani katika vtu vimeleta ahueni katika biashara ni hivi vitambulisho. Kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo pia.stak kuongea sana

Ila amini nakwambia..kama mfanya biashara una akili nzur ...utaviheshimu hiv vitambulisho, Lissu kwa hili umechemka

Narudia tena.kama ni mfanya biashara.uwe mkubwa ama mdogo..kama una akil vzur.hiv vitambulisho ndio tobo lenyew la kuiona chi ya maziwa na asali.

Uzi tayar
Alievianzisha mwenyewe amejitetea kuwa sio lazima maaana yake anajua kuwa havina faida ndio maaana kajitetea wewe ambae hauhusiki hata tone ktk kuvileta unaona kuwa wewe Vina faida, labda umekariri ngoja nikufunue kidogo zamani wao watu walikuwa hawalipi hivyo vitu walikuwa hawalipi hata shilling kumi Leo wanatoa hiyo hela na ufaham kuwa wengi wao mitaaji yao ni Kati ya 3,000 hadi 50,000 Kwa akiri Ya kawaida kumchukulia mtu wa mtaji wa tsh. 3000 ni wiz pengne itakataa hilo la mtaji, ngoja nikuambie kuwa wapo wauza mchicha, Mboga mboga, Karanga, matunda, kusuka na kadharika wengi ndio mitaji yao hiyo na baadhi Ya sehemu ulikuwa ukikutwa huna unaumizwa hata Kama unauza Karanga,

La pili unamchukuliaji mtu hela Halafu haumpi risiti? Ni wizi Mkubwa na kumbuka huyo huyo magufuli kaanzisha taratibu kuwa hata ukinunua kiberiti dai risit
 
Kwa kua umenidhihaki ngoja nami nikujibu hivyo hivyo jino kwa jino dogo.Mdogo wangu nimeanza kuitafuta pesa nikiwa Secondary,,,hebu punguza umama kwanza,,,mimi nina jitegemea na mjasiria mali najua adha ya hii serikali ya unyang'anyi wewe endelea kusugua gaga na kupiga chabo dada ako hapo amepika nini upakuliwe kisha jioni abanduliwe kwa naiba yako ili wewe undelee kufugwa.

Acha utoto kwenye maisha ya watu mbuzi wewe.
Kubal tu umeshindwa hii argument..mtoto yeyote akisoma mtitiriko atajua huna hoja.haya kaa hapo dawa ingie.sibishani na mtu anaekaa kwa wazazi bado na umri umeenda.
 
Sina haja ya kuprove upumbavu wako maana umeshindwa kujibu hoja zangu tunabishana kwa hoja sio upumbavu...

Pesa ya kitambulisho kwanini haijakusanywa na TRA?
Kwanini hamtoi Risiti?
Je,mpaka sasa mmekusanya kiasi gani na mmeweka kwenye mfuko upi na matumizi yake yakoje?

mbona anapuyanga mengi tu,kuna lile la ndege,madaraja,barabara na mabwawa ya umeme.

huenda sheria aliyojikita kusoma ndio inasababisha asijue uchumi hauwezi kukua milele bila miundombinu bora.

lakini yeye na wenzake wanaamini wananchi wanawaelewa.
kwa hiyo unataka niambie kuwa Ndege ndio inakuza uchumi? Haya unajua hasara shirika la Ndege linalopata kila mwezi? Unajua ni hasara gani shirika la Ndege linapata kila mwezi kwenye hizo Ndege? Kama hujui tafuta ripot zote mbili za mkaguzi wa mahesabu Ya serikali, Halafu sasa njooo unijibu, hivi kufanya biashara ukapata hasara ndio kukuza uchumi? OK hapo hautanijibu utakimbilia kuwa kurahisisha usafiri ukikimbilia huko nitakuuliza kwani kulikuwa Hakuna Ndege? Na Kama kuna umuhimu wa Ndege mbona kafukuza Kwa hila tu zile Ndege za fasteget? Zenye bei nafauuu?
 
Sasa Kama magufuli anajua uchumi niambie miaka Yote mitano kakamilisha mradi Gani? Taja mmoja tu na Kama anajua uchumi alishindwaje agenda yake ya viwanda?
 
Alievianzisha mwenyewe amejitetea kuwa sio lazima maaana yake anajua kuwa havina faida ndio maaana kajitetea wewe ambae hauhusiki hata tone ktk kuvileta unaona kuwa wewe Vina faida, labda umekariri ngoja nikufunue kidogo zamani wao watu walikuwa hawalipi hivyo vitu walikuwa hawalipi hata shilling kumi Leo wanatoa hiyo hela na ufaham kuwa wengi wao mitaaji yao ni Kati ya 3,000 hadi 50,000 Kwa akiri Ya kawaida kumchukulia mtu wa mtaji wa tsh. 3000 ni wiz pengne itakataa hilo la mtaji, ngoja nikuambie kuwa wapo wauza mchicha, Mboga mboga, Karanga, matunda, kusuka na kadharika wengi ndio mitaji yao hiyo na baadhi Ya sehemu ulikuwa ukikutwa huna unaumizwa hata Kama unauza Karanga,

La pili unamchukuliaji mtu hela Halafu haumpi risiti? Ni wizi Mkubwa na kumbuka huyo huyo magufuli kaanzisha taratibu kuwa hata ukinunua kiberiti dai risit
Na ndomana nikasema watu wa jf forum weng ni wajuaj na hawajui chochote.yan kwa ulivyoandika tu unaonyesha kwenye sekta hii ya biashara ni zero kabisa na nahis utakua upo nyumban kwa wazaz wew

Aliekwambia wale wajasiriamali wana mitaj ya elf 5 mpaka 50000...nyie jidanganyen hvo hvo...ila ninachokwambia usione mtu ama genge la matunda ukahis ni mtaj wa elf 50 au ukakuta mtu anauza juice au maj au anauza urembo au viatu kkoo ukahis ana mtaj wa elf 50.ni hiv wafanyabiashara wenye akil wanatumia fursa hzo kupiga hela wakat nyie mmekaa nyumban..mtu ana mtaj wa 50 anaugawa kwenye mitaj midogo midgo ya mil5 mil 2 etc anawapa vijana wanauza bidhaa zile zile ambazo angeuza katika duka na TRA wakaja na mikod yao.sasa hiv analipia elf 20 tu kwa mwaka vitambulisho vinatumika kwenye magol yake yote ..siku ukianza kujitaftia pesa ndio utaelewa watu wanaishije..usione kijana anauza urembo ukahis mtaj ni elf 50 ndugu yangu siku nenda kkoo wale machinga kamata m1 muhoji halaf urud hapa utupe testimony pamba.f
 
Sina haja ya kuprove upumbavu wako maana umeshindwa kujibu hoja zangu tunabishana kwa hoja sio upumbavu...

Pesa ya kitambulisho kwanini haijakusanywa na TRA?
Kwanini hamtoi Risiti?
Je,mpaka sasa mmekusanya kiasi gani na mmeweka kwenye mfuko upi na matumizi yake yakoje?
Hyo mfanyabiashara hainihusu...kinachonihusu ni sina bududha na jij na nna uwezo wa kufanya biashara kokote bila kuguswa pamba.f...kama hawatoi risit ni hasara kwao mim inanihusu nn kama wanaiba hyo 20 kwa mwaka hainihusu sabab kagol kangu ka1 kanatengeneza zaid ta hyo elf20 kwa siku
 
shida ni kwamba hata huyo jiwe naye anamuunga mkono lissu kuwa vitambulisho sio lazima. .

sasa ndugu yangu sijui umekula maharage ya wapi
Yaani katika vtu vimeleta ahueni katika biashara ni hivi vitambulisho. Kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo pia.stak kuongea sana

Ila amini nakwambia..kama mfanya biashara una akili nzur ...utaviheshimu hiv vitambulisho, Lissu kwa hili umechemka

Narudia tena.kama ni mfanya biashara.uwe mkubwa ama mdogo..kama una akil vzur.hiv vitambulisho ndio tobo lenyew la kuiona chi ya maziwa na asali.

Uzi tayar

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Yaani katika vtu vimeleta ahueni katika biashara ni hivi vitambulisho. Kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo pia.stak kuongea sana

Ila amini nakwambia..kama mfanya biashara una akili nzur ...utaviheshimu hiv vitambulisho, Lissu kwa hili umechemka

Narudia tena.kama ni mfanya biashara.uwe mkubwa ama mdogo..kama una akil vzur.hiv vitambulisho ndio tobo lenyew la kuiona chi ya maziwa na asali.

Uzi tayar
Kibwengu wa lumumba....kinachopingwa sio kitambulisho ni gharama ya kitambulisho...nimeshuhudia mama ntilie mwenye mtaji wa sh elf kumi akidaiwa elf 20 ya kitambulisho...kwa akili hapa unamsaidia au ni utapeli
 
Duh kumbe bado kuna watu kama wewe wanaona ndege ni kitu cha maana kiuchumi!!! Hivi unajua Ethiopia pamoja na kuwa na ndege zaidi ya 100 but still ni one of the most poorest countries in the universe? Anyways uwezo wetu wa kufikiri unatofautia but nilivyomuelewa Lissu kuhusu hivyo vitambulisho ni kuwa ni wizi kwa sababu hiyo elfu 20 haijulikani inaenda wapi na hata TRA na ofisi ya CAG hawashirikishwi. Swali La msingi ni je, hii elfu 20 inaenda wapi na kwa manufaa ya nani? Hebu fikiria hesabu roughly 20000× wajasiriamali 5000000= Tsh trilioni moja. Hii ni pesa ndefu sana na inahitaji mjadala wa kitaifa kujua namna inavyotumika. Kiufupi Ni wizi na unyang'anyi kwa wanyonge!
Hawezi kukuelewa huyo form four leaver hata kidgo. Hapo bado anakula kwa sista ake
 
Mtoa mada unadhalilisha I'd yako hii...mtu anauza mchicha mtaji wake 30000/_ leo umtosze hiyo hela ..
Mfanyabiashara wa Kati naye akijiashua kuwa nacho hataweza Pata mkopo benk. .shauri zako. .utasanda hapo ..punguzeni ujuha ccm
 
Yaani katika vtu vimeleta ahueni katika biashara ni hivi vitambulisho. Kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo pia.stak kuongea sana

Ila amini nakwambia..kama mfanya biashara una akili nzur ...utaviheshimu hiv vitambulisho, Lissu kwa hili umechemka

Narudia tena.kama ni mfanya biashara.uwe mkubwa ama mdogo..kama una akil vzur.hiv vitambulisho ndio tobo lenyew la kuiona chi ya maziwa na asali.

Uzi tayar
Unapinga nini wakati muhusika mkuu amesema siyo lazima kuvinunua.
Kama siyo lazima muulize muhusika pesa zilizokusanywa zimeenda wapi kwa miaka yote? Hatuzisikii bungeni wala serikalini.
 
Mtoa mada unadhalilisha I'd yako hii...mtu anauza mchicha mtaji wake 30000/_ leo umtosze hiyo hela ..
Mfanyabiashara wa Kati naye akijiashua kuwa nacho hataweza Pata mkopo benk. .shauri zako. .utasanda hapo ..punguzeni ujuha ccm
Dada sema hiv hujajua kuvitumia.kalagabaho..ujue kwenye hela huwa hatufundishan..bas sawa dada angu
 
Unapinga nini wakati muhusika mkuu amesema siyo lazima kuvinunua.
Kama siyo lazima muulize muhusika pesa zilizokusanywa zimeenda wapi kwa miaka yote? Hatuzisikii bungeni wala serikalini.
Kama uko bado kwa wazaz huwez elewa na jua umuhimu wa sis wafanyabiashara tunavitumiaje.kalagabaho...pesa ya kitambulisho inakwenda wap mi hainihusu.mi nachojua kuna namna navitumia vitambulisho tokea vianzishwe na maisha ni murua hiajawai tokea..wew kama bado hujashtukia kaa hvo hvo ndugu yangu
 
Mtoa mada unadhalilisha I'd yako hii...mtu anauza mchicha mtaji wake 30000/_ leo umtosze hiyo hela ..
Mfanyabiashara wa Kati naye akijiashua kuwa nacho hataweza Pata mkopo benk. .shauri zako. .utasanda hapo ..punguzeni ujuha ccm
umuhimu wake ni kwa sis wafanyabiashara wenye akil ndo tunajua tunavitumiaje.kalagabaho...pesa ya kitambulisho inakwenda wap mi hainihusu.mi nachojua kuna namna navitumia vitambulisho tokea vianzishwe na maisha ni murua hiajawai tokea..wew kama bado hujashtukia kaa hvo hvo ndugu yangu
 
kwa hiyo unataka niambie kuwa Ndege ndio inakuza uchumi? Haya unajua hasara shirika la Ndege linalopata kila mwezi? Unajua ni hasara gani shirika la Ndege linapata kila mwezi kwenye hizo Ndege? Kama hujui tafuta ripot zote mbili za mkaguzi wa mahesabu Ya serikali, Halafu sasa njooo unijibu, hivi kufanya biashara ukapata hasara ndio kukuza uchumi? OK hapo hautanijibu utakimbilia kuwa kurahisisha usafiri ukikimbilia huko nitakuuliza kwani kulikuwa Hakuna Ndege? Na Kama kuna umuhimu wa Ndege mbona kafukuza Kwa hila tu zile Ndege za fasteget? Zenye bei nafauuu?

basi wacha nikujibu kama unavyotaka,ndege zilikuwepo.

na usafiri wa anga ulikuwepo kabla ya ATCL kununua ndege zake.

namimi nikuulize kama amefukuza fastjet,watu wamesusa kutumia ndege,au wameshindwa kabisa kulipa tiketi za ndege,sababu ATCL iko juu??
 
Back
Top Bottom