Kuhusu Roho

Huwezi kuelewesha watu juu ya roho kwani roho ni Mali ya mtu hakuna anayeweza jua yaliyomo ndani yake ila yy peke Yake.

Wa pili ni Mungu peke aliyeiumba
 
Mkuu mbona,unaharaka?aliekuambia nimesoma nani?umeona kwenye maelezo yangu nimenukuu neno la mtoa mada?au umeelewaje?

~Biblia inasema usiwe na haraka kusema maneno kinywani mwako,weka lijamu muelewe mtu alikuwa yupo upande upi!

~Siamin kuila mtu/kila neno bali nimembiwa nizijaribu.
 
Halafu ww huijui roho yako na wala hujawahi kuiona,na hutakuja kaa uione,unawezaje kuisemea roho yangu?
 
Halafu ww huijui roho yako na wala hujawahi kuiona,na hutakuja kaa uione,unawezaje kuisemea roho yangu?
sijaisemea,ila kuna ukweli katika nililosema kwani maandiko yako yamebeba sehemu ya roho yako
 
Shida gani?
Shida kubwa ni pale ambapo unapokuwa mzoefu sana unaweza kuwa na tabia za kiwehu au hata ukawa mganga wa jadi kwa kufikiri kuwa umegundua kitu kipya kumbe unajichezea shere mwenyewe.
 
sijaisemea,ila kuna ukweli katika nililosema kwani maandiko yako yamebeba sehemu ya roho yako
Kweli ww ni ubongokids kwakua huna ubongo wa watu wazima/wakiutu uzima sawa mkuu,uko sawa maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…