Habari Wakuu! Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata...