StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,536
- 7,662
Inategemea na cheti ya kumaliza mkataba kinasemaje! Kama kazi ni ya ujuzi sahau mafao mpaka 55Wandugu natamani kujua kasi ya watu kuchukua pension au fao la kujitoa ikoje kwa sasa. Je,watu wanalipwa kwa wakati au la?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kama ni kazi ya ujuzi na mkataba wako umekuwa breached inakuwaje hapo?Inategemea na cheti ya kumaliza mkataba kinasemaje! Kama kazi ni ya ujuzi sahau mafao mpaka 55
Unalipwa 33% kwa miezi 6 zingine baada ya miezi 18Kama ni kazi ya ujuzi na mkataba wako umekuwa breached inakuwaje hapo?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha 67% baada ya miezi 18?Unalipwa 33% kwa miezi 6 zingine baada ya miezi 18
Yeah na Kama uko over 50
Duuuh nipo below aisee. Nchi ngumu sana hiiYeah na Kama uko over 50
Pengine hii sheria inaweza kubadilika Kama ataendelea kuupiga
Labda ngoja tuone. Hii ililetwa kipindi cha Hayati wa Machi 17 au siyo?Pengine hii sheria inaweza kubadilika Kama ataendelea kuupiga
Yeah. Na wengi waliathirikaLabda ngoja tuone. Hii ililetwa kipindi cha Hayati wa Machi 17 au siyo?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Tupiganie katiba mpya.. Ndio muarobaini
habari ndugu naomba ufafanuzi kwa hili kwa sababu ni mtu wa mfano huu na amenyimwa na kuambiwa mpaka afikishe 55 na hana ujuzi ni mwajiliwa wa kawaida na istoshe ni form four na hakujiendeleza ila alifanikiwa kupata ajira kampuni binafsiInategemea na cheti ya kumaliza mkataba kinasemaje! Kama kazi ni ya ujuzi sahau mafao mpaka 55