Kuhusu nafasi ya urais wa Tanzania 2030-2040 tayari CCM tunae kiongozi

bi mkubwa mwenyewe alikua analalamika watu wanatolea macho 2025 kiasi cha kufanya hujuma, wewe unasema kitu gani aisee
 
bi mkubwa mwenyewe alikua analalamika watu wanatolea macho 2025 kiasi cha kufanya hujuma, wewe unasema kitu gani aisee
mbona hiyo porojo na uzushi mwepesi sana gentleman?
 
Reactions: Lax
Mwinyi ataingia hapo
Mgaso Hana miaka mingi dunia ni mzee wa miaka 70+ hawezi affordd kungoja miaka 10 Kusubiria kijana ashike hatamu.

PPotential wote wametolewa kwenye mizani yakumzuia dogo.

Ruksa Jr kapewa urojo miaka 10

Guyz guyz kapewa u-Mp

Obama wannabe katolewa ulingo kupozwa makali.

Siongi mwengine wa kumzuia dogolasi
 
Naunga mkono hoja, he will be a good president. Msije tuletea vichaa km makonda please, nasema hivyo maana ccm lazima wapore uchaguzi, ijapokua siwapendi lakini Emmanuel will make a good president.

Kwa Maza mliingia mkenge ila yatapita kwani siku hazigandi na majeraha aliyotuachia yatapita pia.
 
Ni mbabe wa CCM Pauli Christiani makonda kwani ndiye chaguo la mama
 
Kenge hasikii mpaka atoke damu kwenye masikio.
 
Kama mwenyewe hajasema na kuonyesha nia, kitendo cha kumtaja, hujamtendea haki!, badala ya kumjengea ndio umemuharibia, kwasababu wana ccm wengine wenye nia, ndoto sifa na vigezo, wataogopa kujitokeza, kwa kumhofia yeye.

Kuna wengi tunajua ni huyu, lakini hatumtaji ili kumlinda!, hii ya kumtaja, utamuaribia kwa kumuingiza vitani na wenye nia wengine wenye ndoto ya kukikalia kile kiti, hali inayoweza kupelekea hata kutumika nguvu za giza kumzuia, kama hapa anavyozuia Makonda, Kumbe kuna Watu wanapanga Njama za Kuharibu na Kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake kwa Ndoto za 2030? Ni kina nani hao?

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…