Unit 1 maana yake ni ndoo 50 za lita 20.
Kuna mambo kadhaa yatakua yametokea.
1. Bomba lilikua na upepo/hewa.
2. Umeibiwa maji.
3. Mita mbovu.
4. Kuna leakage.
Nakushauri urudi kwa mamlaka husika wakubadilishie mita.
NB: Hata kama mita ni mbovu jua kabisa watakataa cha kufanya waombe muitest wakiwepo au waiondoe kabisa waweke mpya. Na hiyo mpya hakikisha mmeitest kabla labla hawaja ondoka.
Sent from my SM-A515F using
JamiiForums mobile app