Memory card inaweza kupunguza performance ya simu endapo:
Umeinstall applications kwenye hiyo memory card na memory hiyo ipo chini ya kiwango kinachohitajika na simu husika, hapo naongelea READ/WRITE SPEED ya memory card ambayo inaelezwa kwa kuangalia CLASS ya memory card , class ya juu ni class 10, lakini pia iwe ni origino sio CLASS 4 memory card imepachikwa label ya CLASS 10.
Memory card pia kama kifaa cha electronic huwa zinatofautiana katika matumizi ya umeme(Battery/power consuption). Kuna memory zinatumia power kubwa na kusababisha battery kutumika zaidi.