A Anonymous Guest Aug 15, 2023 #1 Nawapongeza JF kwa kupaza sauti kuhusiana na ubovu wa mashine ya CT SCAN kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila. Naona sasa Huduma za CT Scan zimerejea kama kawaida na zinapatikana saa 24 Jumatatu hadi Jumapili.. Tunaomba muendelee kupaza sauti kuhusu Uchakavu wa Gari la kubebea wagonjwa
Nawapongeza JF kwa kupaza sauti kuhusiana na ubovu wa mashine ya CT SCAN kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila. Naona sasa Huduma za CT Scan zimerejea kama kawaida na zinapatikana saa 24 Jumatatu hadi Jumapili.. Tunaomba muendelee kupaza sauti kuhusu Uchakavu wa Gari la kubebea wagonjwa
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,657 Reaction score 3,773 Mar 19, 2025 #2 Aisee!
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,657 Reaction score 3,773 Sep 1, 2025 #3 Mashamba Makubwa Nalima said: Aisee! Click to expand... Aisee tena