Towashi wa 2
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 341
- 241
Wadao naomba kufahamu inakuaje manispaa za dodoma na morogoro hazipewi hadhi ya jiji .Kimsingi zinaonekana kukidhi vigezo mfano idadi ya wakazi wake ni zaidi ya laki 3,kuna miundombinu ya kiuchumi na kijamii ya kutosheleza,makazi bora na ya kisasa lakini kwa muonekano tu miji hii iko poa kuliko Mbeya na Tanga.Tatizo ni nini au vigezo gani haijatimiza ili ipewe hadhi inayostahili na kuongeza idadi ya majiji nchini?