Kuna aina za vifafa . Mwanamke mjamzito akiwa na kifafa hali hii kitaalam huitwa Eclampsia. . Nayo imegawanyika.. mara nyingi huwa na dalili kama BP kuwa juu na protein kwnye mkojo (albumin) ivyo mwanamke anakuwa anapa uvimbe wa miguu . Mara nyingi kifafa hich huwa kina isha kwa matibabu ya sindano inaitwa magnesium sulphate. ivyo huwa hai ishi yenyewe ina shahuriwa mwanamke akiwa na dalili hizo aende kituo kikubwa cha afya kwani huwa ni hali ya hatari. Lakini siyo kwl mwanamke akipata mimba kifafa uisha.. bali ni hali yaku tibiwa.