Kuhusu Diploma clincical medicine

Hakika hakuna course nzuri ya afya ambayo unaweza kuilinganisha na Medical lab hata siku moja, hao watu ndo wanafurahia maisha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sio wote wengi wamepauka sana ukizingatia fursa nyingi zisizo na mipaka ziko kwa Nurses and clinicians.

Lab tech kukaa kituoni mwaka mzima bila hata meeting ni kawaida Sana.

Bora ungeshauri Dental na Optometry pia zina future nzuri kuliko hiyo Lab ambayo umemkomalia.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kweli kabisa trainings hakuna
 
Dah bora hata maana kila mtu anasema medical lab bora
 
Form four nilipata
Bios- A
Phy - C
Chem - B
Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
Mkuu omba Masasi,Lindi na Mafinga hivyo vyuo havina sana ushindani ila vizuri utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu mkuu nikutonye kwa sasa kozi yenye mpunga ni hiyo Radiology haina wahitimu kabisa hiyo...ukisoma utapata tabu kidogo ila ajira utapata utakula sana maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mipaka unayozungumzia wewe ni ipi??? Hebu fafanua kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CO, PHARMACY na LAB zote ziko poa.
PHARMACY na LAB moja kwa moja utapata bila ya Competition yoyote! Lakini Kuhusu CO kama unavyojua Bongo ukienda Shuleni Kila Mtu daktari so, Wabaji CO ni wengi Kiasi Ya Kwamba PCB na BCG walioangukia Div III na IV pale Advance ambao Hawezi Kupata MD wengi wao (sio wote) huishia Kuomba CO, Nahisi Hapo Kwa Lugalo Competition inaweza Kukukosesha CO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…