Umechaguliwa vyuo vipiWadau naomba msaada wenu cz nimem2ma m2 tcu lkn mpk dk hii cjaona code tangu j3 hadi leo alhamic alaf jina langu halipo kweny multiple but nimechaguliwa vyuo viwili
Udsm na sautiUmechaguliwa vyuo vipi
Hawa wadau watatuua na presha asee but kuna jamaa nliongea naye tena alienda tcu akasema next week ndo wanatoaKesi yako kama yangu nasubiri watoe raundi ya 3 labda nitaona tofauti
Nilipiga chuoni wameniambia wiki hii tcu hawajatoa codes wataanza kutoa codes kuanzia j3Hawa wadau watatuua na presha asee but kuna jamaa nliongea naye tena alienda tcu akasema next week ndo wanatoa
Sana cheo nimekusomaaaNilipiga chuoni wameniambia wiki hii tcu hawajatoa codes wataanza kutoa codes kuanzia j3
Kidogo umenitia moyoSana cheo nimekusomaaa