Kuhusu confirmation code kutoka TCU

Hata ikipatikan haipokelewagi iyo... Tafut tu unaemfaham dar aende tcu,, tatizo lako litatatuliwa
tatizo sina ndugu yeyote huko may be wewe kwa ubinadam wako uvae uhusika huo ili unisaidie
 
Mda mwingine dhambi ya uongo huwa inatuadhibu hapahapa duniani, wewe angalia Title ya thread na kilichoandikwa si dhambi hii.
 
namba haipo naambiwa ivyo
Hakuna mbongo anaekosa ndugu dsm...kwanini usirahisishe zoezi akaenda kukujazia hatakama upo mwisho wa reli. Hembu mtafute ndugu yako hata kama yupo mkuranga adamke asubuhi na mapema ofisi za Tcu akakujazie hio fomu. Watanzania mambo mengine tuwe serious tuache ubishi..#Kila la kheri
 
kaka kesi yako na yangu zinafanana hadi nukta,yaani nashindwa kuelewa maana chuo kingine ambacho inadaiwa kuwa nimechaguliwa sijakijua na jina halipo kwenye vile vyote nilivyoapply
 
kaka kesi yako na yangu zinafanana hadi nukta,yaani nashindwa kuelewa maana chuo kingine ambacho inadaiwa kuwa nimechaguliwa sijakijua na jina halipo kwenye vile vyote nilivyoapply
kwan na ww umechaguliwa MUCE maana kuna watu kama 3 HV wte wa MUCE raund ya pili wanatatzo kama hili.ebi tujuzane katka hili
 
Hayo ndio madhara ya kutokujiamini. Chagueni chuo kimoja muachane na hizo adha!
 
Unalipwa nini
 
HIZO NI SHOBO KIWANGO CHA SGR
 
Wadau naomba msaada wenu cz nimem2ma m2 tcu lkn mpk dk hii cjaona code tangu j3 hadi leo alhamic alaf jina langu halipo kweny multiple but nimechaguliwa vyuo viwili
 
Wadau naomba msaada wenu cz nimem2ma m2 tcu lkn mpk dk hii cjaona code tangu j3 hadi leo alhamic alaf jina langu halipo kweny multiple but nimechaguliwa vyuo viwili
Kesi yako kama yangu nasubiri watoe raundi ya 3 labda nitaona tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…