Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Tatizo kama lako limejitokeza kwa mwingine kwa jinsi hiyohiyohabar wakuu,Mimi nilichaguliwa selection ya pili nkwawa kama direct yaan nilpata chuo hcho tu na nilipoangalia kwa wale waliotoka kwenye multiple sikuwepo na profile zoote za vyuo nlivyoomba zilionesha kuw ckuchaguliwa isipokuw udsm campus ya MUCE .lakin cha kushangaza Leo nimeingia kwenye akaunt yangu ya udsm eti inaonesha kuwa nmechaguliwa chuo zaid ya kimoja na sasa inatakiwa codes ili niweze Ku komfirm.sasa najiulza Kuwa nawezaje kukomfirm wakat nmechaguliw chuo kmoja na system inataka nicomfirm?msaada wakuu mana Milo Mkoan huku sielew nifanyeje
sasa nifanyeje mwenzenu?Ta
Tatizo kama lako limejitokeza kwa mwingine kwa jinsi hiyohiyo
Inabidi ucofirm kama una code mkuusasa nifanyeje mwenzenu?
Tatizo kama lako na mimi pia nilikuwa mhanga wa hilo, cha kufanya wasiliana na chuo ulichochaguliwa komaa nao kama namba za wahudumu zipo hata 5 wasiliana na wote hata kama ukimpigia mmoja akakukatisha tamaaa pigia mwingine mwambie tatizo lako watalitatua fasta tu...au kama hutojali nichek kwa namba hii kwa maelezo zaidi 0757470398habar wakuu,Mimi nilichaguliwa selection ya pili nkwawa kama direct yaan nilpata chuo hcho tu na nilipoangalia kwa wale waliotoka kwenye multiple sikuwepo na profile zoote za vyuo nlivyoomba zilionesha kuw ckuchaguliwa isipokuw udsm campus ya MUCE .lakin cha kushangaza Leo nimeingia kwenye akaunt yangu ya udsm eti inaonesha kuwa nmechaguliwa chuo zaid ya kimoja na sasa inatakiwa codes ili niweze Ku komfirm.sasa najiulza Kuwa nawezaje kukomfirm wakat nmechaguliw chuo kmoja na system inataka nicomfirm?msaada wakuu mana Milo Mkoan huku sielew nifanyeje
HapanaWadau nilikua napenda kuuliza, je ukishaconfirm kuna sms yeyote inarudi kwenye simu inayoonesha kua umeconfirm?
kama upo dar nenda TCU utajaza form watakutumia code ila usikate tamaa mimi mwenyewe code nilitumiwa jmosi saa kumi na mbili.lakini cha msingi nenda tcuWengine hata code bado hatujapata
cha kwanza no uliyoitumia kuapply ipo on mda wote?watu code hatujapata tupo mikoani tufanyeje?
ipo on 24, 7cha kwanza no uliyoitumia kuapply ipo on mda wote?
kama unandugu dar mwambie aende tcu leo au kesho.ipo on 24, 7
nipe namba za TCU sina ndugu dar mkuukama unandugu dar mwambie aende tcu leo au kesho.
au jaribu kuwapigia cm.
+2552222113691nipe namba za TCU sina ndugu dar mkuu
number your calling does not exist naomba msaada mkuu+2552222113691
namba haipo naambiwa ivyo+2552222113691