Mama kdev Member Joined Mar 30, 2016 Posts 49 Reaction score 32 Apr 4, 2016 #1 Naomba kujua kama mtu ukipoteza cheti cha chuo ngazi ya bachelor unaweza kupewa kingine na chuo husika. Nimepoteza cheti changu cha chuo na kinahitajika kazini haraka sana mara ya kwanza nilitumia transcript
Naomba kujua kama mtu ukipoteza cheti cha chuo ngazi ya bachelor unaweza kupewa kingine na chuo husika. Nimepoteza cheti changu cha chuo na kinahitajika kazini haraka sana mara ya kwanza nilitumia transcript
Mama kdev Member Joined Mar 30, 2016 Posts 49 Reaction score 32 Apr 4, 2016 Thread starter #2 Msaada jamani
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,075 Reaction score 16,654 Apr 4, 2016 #3 We ni zembe,utapotezaje document muhimu kama hiyo?
Naisoma360 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2015 Posts 823 Reaction score 493 Apr 4, 2016 #4 Mama kdev said: Naomba kujua kama mtu ukipoteza cheti cha chuo ngazi ya bachelor unaweza kupewa kingine na chuo husika. Nimepoteza cheti changu cha chuo na kinahitajika kazini haraka sana mara ya kwanza nilitumia transcript Click to expand... Ushauri tu..Nenda karipoti polisi ili wakupe loss report baada ya hapo nenda chuo husika ukafahamu Utasaidiwaje.
Mama kdev said: Naomba kujua kama mtu ukipoteza cheti cha chuo ngazi ya bachelor unaweza kupewa kingine na chuo husika. Nimepoteza cheti changu cha chuo na kinahitajika kazini haraka sana mara ya kwanza nilitumia transcript Click to expand... Ushauri tu..Nenda karipoti polisi ili wakupe loss report baada ya hapo nenda chuo husika ukafahamu Utasaidiwaje.