Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kama raisi Magufuli na Serikali yake wasingechukuwa uamuzi waliochukuwa yaani kufuta vibali vya uagizaji sukari ili kulinda viwanda vya nyumbani sasa hivi wangekuwa wako Bungeni tena wakiongozwa na Zito Kabwe (ACT), Tundu, Mbowe &Co. wakiikemea Serikali na kuilaumu kwa kutokuchukuwa uamuzi wa busara na wa lazima ili kulinda viwanda vyetu!
Sasa Serikali yetu imelifanya hilo na kwa kuwa ni lazima wapinge tu sasa wanalaumu ni kwa nini Serikali waliondoa vibali vya kuagiza sukari hali iliyopelekea kuwa na upungufu, lkn ukiwauliza wao wangefanyaje labda kinyume na Serikali yaani kuwa na sukari na wakati huwo huwo kulinda viwanda na Wakulima wetu hawana jibu, basi ili mradi tu kama vile alivyo Kiongozi wao Vinsenti Kashimba ambaye anavaa scarf nzito shingoni kwenye nchi yenye joto zaidi ya nyuzi joto 35 anashindwa hata kuelewa kitu rahisi kama hicho, kama anavyoonekna hapo chini!