yap inawezekana kwan grouo o ni unversal donor ana gawia kla group la dawa..ila a reseive blood trnsftion kwa group lolote kasoro o pekee..hii ni kwajl ya antbody na antigen reaction(serology)
Ndiyo ila angalizo:
Hiyo blood group kama ni whole blood iwe imepimwa high titre antibodies (anti A & anti B) vinginevyo inaweza kusababisha serious transfusion reactions ikiwa itakuwa na high titre anti A katika plasma.
Kama ni packed red cells bas si lazima ziwe zimepimwa high titre antibodies kwa kuwa kias kikubwa cha plasma kimetolewa. Hii blood group O packed red cells ndio twaweza kuita 'universal donor'
watu wenye blood group A na B wana vitu vinaitwa "free antigenic substance" ktk plasma ambayo hufanya kazi ya kuneutralize izo antibodies zisilete reactions PAUL M LUCAS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.