Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,789
- 1,606
We nenda kwenye interview halafu waulize watakweleza tuWakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.
natanguliza shukrani mujarab....:dance:
ntaenda mkuu, ila ni vyema kuwa na info before hand....kama unayo ntupieWe nenda kwenye interview halafu waulize watakweleza tu
Wakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.
natanguliza shukrani mujarab....:dance:
kama wamekuita kwenye interview inamaana walitangaza nafasi za kazi na kuweka "package" zao. Ulitumaje maombi bila kujua wanalipaje? Je ukienda ukakuta kazi ni ya kujitolea?Wakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.
natanguliza shukrani mujarab....:dance:
kama wamekuita kwenye interview inamaana walitangaza nafasi za kazi na kuweka "package" zao. Ulitumaje maombi bila kujua wanalipaje? Je ukienda ukakuta kazi ni ya kujitolea?
kama wamekuita kwenye interview inamaana walitangaza nafasi za kazi na kuweka "package" zao. Ulitumaje maombi bila kujua wanalipaje? Je ukienda ukakuta kazi ni ya kujitolea?
nilituma cv mkuu...siku mingi
Nipe email ya hr nami nitume cv
Mi waliwahi kuniita kwenye Interview lakini nilishindwana nao maana wanajifanya wanataka mtu professional lakini hela yao ya mawazo wanabanaWakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.
natanguliza shukrani mujarab....:dance:
Nina mtu wa jirani alifanya
kazi nao, akashindwana nao.ofisi zina endeshwa na wahindi na
kucheleweshwa kulipa mshahara ni kitu cha kawaida pale.