Leo Asubuhi
Member
- Apr 5, 2017
- 64
- 43
Unajua tractor zina ukubwa na uwezo tofauti na wewe unatakiwa ununue kutokana na kazi unayoenda kufanya la sivyo utachemka kwa hiyo kuwa muwazi ili wakusaidie,kunasehemu nilienda kama tractor haina 4wheel hainakazi huko.Habari. Nina taarifa kidogo. Kwanza inabidi ujue unahitaji trekta lenye uwezo gani yaani horse power na unataka brand new au used. Kwani bei inatofautiana kutokana na upya au imetumika, capacity , where is it made, brand na payment mode. John Deere wana payment arrangements ya kulipa 50% at the spot na balance unalipa ndani ya mwaka lakini kuna mfuko wa pembejeo wa serikali ingawaje una urasimu lakini waweza pitia hasa ukitaka kununua on credit. Kuna kampuni ya Kirasa inauza matrekta za Massey Ferguson new from Pakistan nadhani. Watembelee Ubungo opposite na njia ya kwenda kwa mzee wa upako.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kama upo tayari tuunganishe nguvu tuagize Afrika Kusini, tunaweza kuokoa nusu ya gharama mkuu!Nani ningependa kujua being ya matrekta ya mkono.
Tunaweza kuokoa kiasi gani na hapa bongo wanauzaje.Kama upo tayari tuunganishe nguvu tuagize Afrika Kusini, tunaweza kuokoa nusu ya gharama mkuu!
Nimeulizia hapa Mwanza bei inaanzia mil. 9 made in India, hadi mil.14 kwa Kubota hii Kubota engine yake ni ya mjapani, wakati mil 5 unapata kutoka SA, Made in China bei inaweza kuwa pungufu zaidi...Tunaweza kuokoa kiasi gani na hapa bongo wanauzaje.
Nasikia havilipiwi kodi.Nauliza pia, vifaa vya kilimo kuagiza ni tax free?
i nimeshajipanga, mwezi wa tano njia moja kuelekea afrika ya kusini kununua used massey au ford. Bei zao si mbaya sana. Ni in box tuelezane mkakati.Kama upo tayari tuunganishe nguvu tuagize Afrika Kusini, tunaweza kuokoa nusu ya gharama mkuu!