Kuhusu ajira

Kuhusu ajira

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
HABAR ZENU WANA JF mi nimemaliza fm 4 niko tu nyumbani natafta kazi yoyote hata ya ukarani yoyote pls,kazi yoyote am serious jamani
 
Matokeo yako yakoje? je uko tayali kukaa gengeni na kuuza bidhaa?, kwani usi rudie paper kama matokeo si mazuri? ok jaribu kuwaambia wazazi /walezi wakulipie hata ukasome kozi fupi za miezi 6 cku hizi vitu ni vingi hadi usafi unasomewa, mdogo wangu hata computer basi nenda kasome kwanza uwe hata na cheti. Maisha ni magumu jiongezee hata kidogo.

Au labda umefaulu ila tu unataka upate kazi ili tu uwe unasubiri kwenda shule huku unapata chochote kitu? kama umefaulu mda huu utumie kusoma hata computer kozi.

NB: kama hali ya maisha kweli ni ngumu sana kiasi ambacho no way out, basi Endelea kutafuta utapata, ila mh! ndugu cku hizi? we acha tu. Mafanikio mema mdogo wangu.
 
Pole mdogo wangu , vipi una mpango gani na elimu yako? Matokeo yakoje?
 
Form four???????

Mimi nimemaliza form four bwiru boys 2008

nikapata division 1-17

nimemaliza dvanced level umbwe 2011

eca nikapata division 1-6

nimemaliza elimu ya chuo kikuu cha dar es salam mwaka 2014

bachelor ya accounting mpaka sasa hivi sijapata kazi

hii dunia itakua haiko fair kama wewe ukipata kazi
 
duuh no mana axee
 
Nimeipenda sana c.v yako ........

Uko vizuli sana..... Ila usikate tamaa kaza buti tuu.... Mpaka kieleweke
 
form four???????

umesahau kutaja gpa mkuu,,,
 
Nimeipenda sana c.v yako ........

Uko vizuli sana..... Ila usikate tamaa kaza buti tuu.... Mpaka kieleweke

Mkuu we Muongoooo
1.Mwaka 2008 hakukuwa na 1.6 Eca Umbwe...1.6 ilikuwa moja tena ilitoka HGL
2.Hakuna mwanafunzi wa Bwiru aliyekuwa anasoma ECA umbwe kamaliza 2008
3.Afu Mbaya zaid ECA mwaka 2008 Umbwe ilianza Div 3 ..afu hakuna nwanafunzi wa ECA umbwe aliyekuja soma UDBS...
 
Form four???????

Mimi nimemaliza form four bwiru boys 2008

nikapata division 1-17

nimemaliza dvanced level umbwe 2011

eca nikapata division 1-6

nimemaliza elimu ya chuo kikuu cha dar es salam mwaka 2014

bachelor ya accounting mpaka sasa hivi sijapata kazi

hii dunia itakua haiko fair kama wewe ukipata kazi

we jamaa ni hopeless sana tena tahira,sasa unasema mtoa maada akipata kazi dunia haitakuwa fair,nani alikuambia dunia huwa ni fair.unashidwa hata kutofautisha mazingira yeye kasema amemaliza form 4 huku wewe umemaliza chuo.yeye anatafuta kazi yoyote kwani nawe ulisema unatafuta kazi yoyote? Kama si kuharibu uzi wa mwenzako ni nini?.
Eti umemaliza 2014 unalaumu huku mtaani watu wamemaliza 2011 na bado wanasugua,acha dharau
 
Form four???????

Mimi nimemaliza form four bwiru boys 2008

nikapata division 1-17

nimemaliza dvanced level umbwe 2011

eca nikapata division 1-6

nimemaliza elimu ya chuo kikuu cha dar es salam mwaka 2014

bachelor ya accounting mpaka sasa hivi sijapata kazi

hii dunia itakua haiko fair kama wewe ukipata kazi

Wewe jamaa nina mashaka na hiyo elimu yako kwani mpaka leo hujui maana ya specialization, chep labour kwa taarifa yako huyo dogo atapata kazi mapema zaidi kuliko hata wewe, najiuliza kwa nini mtu wa degree asumbuke kupata kazi kuliko wa dip or cert sababu zingine huwa tunatengeneza wenyewe, badilika acha zarau, kila mtu na riziki yake.
 
Back
Top Bottom