Mmmmmh Poleni Walimu aisee! Endeleeni kutupiga tafu kusugua benchi tu
Ndio maana mimi naona bora kwenda wizarani watujulishe kitu kinachoeleweka kwasababu kila mtu anaongea lake humu ndani,mfano mimi leo kuna watu wawili tofauti wamenipa taarifa kuwa wiki mbili hizi watatoa majina na tayari fungu limeshatolewa.
Hapo sasa ndonazd kuchoka hasa kwa cc tuliozoea kutemea,Sasa kama ni hivyo kwanini asiwajurishe walimu watarajiwa kwa njia rasmi ili wajiandae kisaikolojia? Hata wakisema desemba sio tatizo watoe majina ili kama kuna watu hawamo wafanye mishe zingine. Kama kulima nyanya au kuuza mishikaki au kusaini mikataba na shule binafsi. Kuto toa majina ndilo tatizo kubwa! Watoe majina kuripoti hata wakisema 2015 itakuwa poa tu.