Abdalla Mohd Ali
Member
- Jul 8, 2022
- 21
- 7
Wakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
Usilinganishe CPA T na Vitu vya ajabu.Wakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
Sidhani.Wakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
Ni huzuni kubwa sana kwa vijana wengi wa Kitanzania kutokuwa na Mahaba ya Ujuzi/Elimu specific ! Wanakuwa kama malaya - kusoma degree ambazo zina upigaji na dhuruma ya raia. Sote tumezaliwa with specific task/vipaji mbalimbali+ Tuzae na kuijaza Dunia- ni huzuni kwa kizazi cha watazania mtu anafika mpaka form 6 bado ajui why yupo duniani 😭😭😭Degree ni part tu ya kukusaidia kufanya vizuri with God given Talents!! Kabla ya kuja Mzungu Babu wa babu zetu waliuguwa, Walikuwa wanafanya Biashara, walikuwa na ulinzi, madawa, na jinsi ya kupashana habari, ufundi mbalimbali na ata technologia mbalimbali! NI UZUNI KWA KIZAZI HIKI KUTOJUA WHY WAPO DUNIANI😭😭Wakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
Wakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
Ok ahsante sana mkuuSidhani.
Nnachojua kozi ambazo zina michakato ya professional papers au reports au intern ni hizi..
1. Engineering
2. Medicine
3. Accountancy
4. Law
Ili uwe certified actuary lazima kuna mitihani utaifanya tena njee ya nchi kama huna vibunda jiandae maana ni gharama.Ok ahsante sana mkuu
Umewasilisha
actuarial unaijua au unalipokaUsilinganishe CPA T na Vitu vya ajabu.
Ni huzuni kubwa sana kwa vijana wengi wa Kitanzania kutokuwa na Mahaba ya Ujuzi/Elimu specific ! Wanakuwa kama malaya - kusoma degree ambazo zina upigaji na dhuruma ya raia. Sote tumezaliwa with specific task/vipaji mbalimbali+ Tuzae na kuijaza Dunia- ni huzuni kwa kizazi cha watazania mtu anafika mpaka form 6 bado ajui why yupo dunianiDegree ni part tu ya kukusaidia kufanya vizuri with God given Talents!! Kabla ya kuja Mzungu Babu wa babu zetu waliuguwa, Walikuwa wanafanya Biashara, walikuwa na ulinzi, madawa, na jinsi ya kupashana habari, ufundi mbalimbali na ata technologia mbalimbali! NI UZUNI KWA KIZAZI HIKI KUTOJUA WHY WAPO DUNIANI
![]()
Dogo anza Google then pitapita kwenye financial institutions ulitaka kujua zaidi. Hawa bana ni ma Risk Analysts. Kimsingi ukigraduate utaajiriwa km analystWakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
Bro sidhani km huyu kijana alouliza anamakosa kataka kujua ili afanye maamuzi na kimsingi mie nimemsifu maana kama atafanikiwa ataenda shule akijua nini anajifunza na nini anapswa akijue atakapo maliza chuo. Na pia inamsaidia kujiaandaa kisaikolojia. Kama wewe ulisoma unachokijua unabahati sana mkuu. Si unajua bongo hatuna career guidance?Mkuu ni aibu sana aisee ndio maana hatufanikiwi kwa sababu tunafanya vitu ambavyo hatuna uwezo navyo kwa kuamini tutakuja kupiga hela,
Mwisho wa siku atalalamika hakuna kazi,kumbe hunauwezo nayo hiyo course wewe ulikuwa una force upate mpunga.
Mababu zetuwaliishi kabla ya hiyo degree yake aliyoitaja hapo inayousiana na maswala ya bima na risk kwenye mabank kwa watu waliofariki na kushindwa kurudisha mikopo.
Ukijua uwezo wako uko wapi huwezi kuwa na maswali ya kijinga kama hayo.
Ukijua tu kipaji chako ni nini hata kama huna hiyo degree lazima tu ufanikiwe maana utakachokifanya ndio unauwezo nacho vizuri.
Unaambiwa Maths za Engineering zote cha mtoto...
..
Na hizo ulizofundishwa ukaziona ni ngumu, basi ujue hutazitumia na hazikuwa lazima, sema kwa vile mi lecturer ya kibongo inapenda uone kila kitu kigumu...Ushawahi kugusa hesabu za engineering mkuu? Au unaandika tu?