Alisikiliza kero za wananchi na kutatua hapohapo hata Kama zingetumia gharama.Hivi ilishawahi kufanyika tathmini ya safari za ndani za Mkuu wa Nchi hasa kipindi cha Mwendazake?
Ule msafara ulivyokua ma magari zaidi ya 80 mengi yakiwa ma V8 ulikua unawaf
gharimu walipa kodi wa nchi hii kiasi gani?
Kama una refer ziara ya Samia nchini Misri uelewe kwamba hakwenda kuomba. Kwa taarifa yako Misri ni mdau wa maji ya Ziwa VictoriaAlisikiliza kero za wananchi na kutatua hapohapo hata Kama zingetumia gharama.
Hivyi unaweza kumaliza matatizo ya familia yako kwa kumtegemea jirani akusaidie?mawazo ya kimaskini kabisa.
Kiongozi unahoji Deni kupanda mzee ruksa alikiri marais wote waliopita hakuna anayefikia JPM kwa miradi kwa miaka yao yote.Kama una refer ziara ya Samia nchini Misri uelewe kwamba hakwenda kuomba. Kwa taarifa yako Misri ni mdau wa maji ya Ziwa Victoria
Kuna mgogoro wa kimkataba kati ya mataifa wadau wa maji ya mto Nile na kubwa zaidi kuna stand off kati ya Misri na Ethiopia kuhusiana na hilo
Juu ya hilo wakandarasi wanaojenga Mradi wa Maji wa Bwawa la Mwalimi Nyerere kule Rufiji wenye kugharimu Bilioni kadhaa za Dollar za Kimarekani ni Arab Contractors ambayo ni Kampuni la Misri. Aliyeipa hiyo Kampuni kandarasi hiyo sio Samia na naamini unamjua
Rais Samia hawezi kuomba msaada wa kifedha kutoka nchi jirani au nchi ya Kiafrika maana kwanza zenyewe ni kama sisi. Labda useme anashawishi wawekezaji na biashara miongoni mwa nchi za Afrika zenyewe
Lakini hivi ni kweli kabisa Mkuu humjui aliyepandisha deni la Taifa kwa kipindi kifupi kufikia kiwango ambacho hakikuwahi kufikiwa na Marais wote waliopita Tanzania?
Kama umesahau basi ujue ni yule aliyekua anasema hadharani kwamba tunatekeleza miradi kwa pesa zetu za ndani?(eti za kodi)!!!!
Kumbe kisirisiri anakopa fedha nyingi nje tena kwenye Taasisi za Fedha za Kibiashara zenye riba kubwa na kufanya miradi kama ile ya ujenzi wa Airport Chato!
Mama Samia hivi karibuni alitangaza wazi kua nchi imepokea mkopo kutoka IMF na kwa uwazi zikapangiwa matumizi ambayonhata mtoto wa Primary School alielewa
Kaka umeuwaHiyo picha ya nini? ukikua utajutia ushamba wako wa zamani.
Rais atatumia gharama za Nani!!?..umevimbiwa kande nini!!?Je ni kwa gharama za nani?
Mzee ruksa kazeeka Sana,nakumbuka alishasema nchi inaendeshwa Kama gari bovu utawala wa magufuliKiongozi unahoji Deni kupanda mzee ruksa alikiri marais wote waliopita hakuna anayefikia JPM kwa miradi kwa miaka yao yote.
Na hakusema miradi yote ni mapato ya ndani.
Kama gesi yote imeenda kwa mabeberu,huo mikataba wa 70tr ni wa gesi ipi?..Nani aliyetoa mrabaha wa serikali kwenye madini toka 3% Hadi 16%Ni Kodi yako ikiwemo tozo, Kikwete alikwenda karibu nchi zote dunia Labda kule hakupenda yeye.
Faida yake ni mikataba ya RICHMOND,DOWANS,Mikataba hovyo ya madini mfano ACACIA na makinikia yao,Gesi yote inakwenda kwa beberu.
Yaani alisaini Mikataba ya kila namna na kusafiri kila Kona,faida zero,na kula Kodi za Watanzania na washakaji zake.
Kama mama anao uwezo wa kutoa pesa za miradi atashindwaje za kusafiri, mama anazo pesa.Nakumbuka enzi za hayati rais Magufuli
Alituambia kusafiri kwenda nje kuna gharimu sana pesa
Ndio maana yeye hakutaka kusafiri
Ila sasa mambo yamekuwa tofauti utawala huu
Nauliza tu mimi kama mwananchi na sina lengo baya na kama nitakuwa tofauti tusameheane
Hivi hizi safari za huyu mheshimiwa rais wa sasa gharama anatumia zipi?
Ni hizi hizi kodi zetu au kuna misaada ya wahisani
Hivi Anapo endaga nchi za wenzetu huwa anapata mialiko au?
Msije kuninukuu vibaya mm ni mwananchi nahitaji nijue utaratibu wa nchi yangu unavyoenda
Mana haiwezekani hata kidogo nikae kimya ikiwa huyu rais yupo kwajili yangu mwananchi alafu nishinde kujua
Kama ni kodi zetu mama hapana unatuumiza sana na sio haki hata kidogo ndio ulisema unaenda kututafutia na kutuletea kwa faida ya nchi
Mheshimiwa tutaishi kwa misaada hadi lini?
Sasa serikal ya awamu ya 5 ilikuwa ana kopesha nanani ikiwa ilikuwa ina mahusiano mabovu na duniaMwache Mama airudishe Tz kimataifa, yule mzee unayefikiri wewe kwamba alikuwa hasafiri ili kubana matumizi ndiye aliyelifikisha deni la serikali kwenye Trilion 78, huku akitekeleza miradi ya wizara moja tu kati ya 27!
Tukaambiwa serikali inajenga miradi kwa fedha za ndani wakati kila uchao waziri wetu alikuwa anafuatia mikopo!
Mbona hukuhoji misafara mikubwa hadi ya kusindikizwa na helikopta, gharama zake zilikuwa ngapi? Au ni leo ndo umekuwa mwananchi wa Tz?
Mwacheni mama arudishe mahusiano yetu na dunia kwani hatuwezi kuishi kama kijiji!
Mzee Ruksa ni mwanafasihi mzuri sana. Pale alikua kama anamkejeli Mwendazake kifasihiKiongozi unahoji Deni kupanda mzee ruksa alikiri marais wote waliopita hakuna anayefikia JPM kwa miradi kwa miaka yao yote.
Na hakusema miradi yote ni mapato ya ndani.
Uenda hii ni point, ila wahusika wafafanue zaidi, suala la kusema anaenda eti kwa mualiko, bila jambo zito la ziada ni dosari!Umuhimu wa kusafr unakuja kwenye ku close deals
Manepari na mashirika makubwa wasingependab kufanya final deal na subordinate wangependa zaidi kuongea na muhusika ili kupata uhakika wa Uwekezaji au fedha wanazotoa
Nimeona kwenye mikataba ya fedha nying wakuu wa taasisi hizo huwepo hivyo ni jambo muhimu na lenye uzito kabla mwekezaji hajajua kuleta fedha zake kuonana na Mkuu wa nchi pia inampa assurance
Hawana tofauti Magufuli alitumia fedha za wslipa kodi kwa kuendesha kikundi cha wasiojulikana majambazi wauaji na wahujumu uchumi wengine wameshafungwa tayariNakumbuka enzi za hayati rais Magufuli
Alituambia kusafiri kwenda nje kuna gharimu sana pesa
Ndio maana yeye hakutaka kusafiri
Ila sasa mambo yamekuwa tofauti utawala huu
Nauliza tu mimi kama mwananchi na sina lengo baya na kama nitakuwa tofauti tusameheane
Hivi hizi safari za huyu mheshimiwa rais wa sasa gharama anatumia zipi?
Ni hizi hizi kodi zetu au kuna misaada ya wahisani
Hivi Anapo endaga nchi za wenzetu huwa anapata mialiko au?
Msije kuninukuu vibaya mm ni mwananchi nahitaji nijue utaratibu wa nchi yangu unavyoenda
Mana haiwezekani hata kidogo nikae kimya ikiwa huyu rais yupo kwajili yangu mwananchi alafu nishinde kujua
Kama ni kodi zetu mama hapana unatuumiza sana na sio haki hata kidogo ndio ulisema unaenda kututafutia na kutuletea kwa faida ya nchi
Mheshimiwa tutaishi kwa misaada hadi lini?
V8 70 na hedikopta juu ni sh ngap kwa MweziJe ni kwa gharama za nani?
Sasa io ni kazi ya habari maelezoUenda hii ni point, ila wahusika wafafanue zaidi, suala la kusema anaenda eti kwa mualiko, bila jambo zito la ziada ni dosari!
Sasa kama ni uhakika wa uwekezaji kwa nini wasije wao wakafanya appointment na rais kama ishu ni kuonana na rais, wakaona na mazingira wanayotaka kuja kuwekeza..?ama si wanazo balozi zao huku je hawawezi kupata taarifa za nchi husika kupitia mabalozi wao?Umuhimu wa kusafr unakuja kwenye ku close deals
Manepari na mashirika makubwa wasingependab kufanya final deal na subordinate wangependa zaidi kuongea na muhusika ili kupata uhakika wa Uwekezaji au fedha wanazotoa
Nimeona kwenye mikataba ya fedha nying wakuu wa taasisi hizo huwepo hivyo ni jambo muhimu na lenye uzito kabla mwekezaji hajajua kuleta fedha zake kuonana na Mkuu wa nchi pia inampa assurance
Hivi ilishawahi kufanyika tathmini ya safari za ndani za Mkuu wa Nchi hasa kipindi cha Mwendazake?
Ule msafara ulivyokua ma magari zaidi ya 80 mengi yakiwa ma V8 ulikua unawaf
gharimu walipa kodi wa nchi hii kiasi gani?
Ok. Hv unaweza kutatua matatizo ya familia yako kwa kufanya biashara yenu wenyewe? Au unatakiwa uwauzie na kununua kwa jirani piaAlisikiliza kero za wananchi na kutatua hapohapo hata Kama zingetumia gharama.
Hivyi unaweza kumaliza matatizo ya familia yako kwa kumtegemea jirani akusaidie?mawazo ya kimaskini kabisa.