hujaeleweka mkuu,
je unaanza ajira mpya kwa mwajiri yuleyule wa mwanzo mfano?
je hiyo ajira ni katika kada hiyo hiyo ya elimu?
ulienda kusoma je bado uko kwenye mfumo wa ajira au ulitoroka kwa mwajiri?
kama unatafuta ajira mpya kwingineko tofauti na mwajili wako wa mwanzo lazima maombi yako ya ajira yapitie kwa mwajiri wa mwanzo ili Utumishi wakutambue kama tayari wewe ni mwajiriwa. lakini ukiomba kimia kimia utaishia kunawa...kamwe kula hutakula