Kuhamia south africa

dalalimbeya

New Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Wakuu habari za leo, kuna vitu naomba kujua kwa watanzania wanaoishi south africa au watanzania ambao waliwahi kuishi south africa

1) Ni mji gani south africa wenye vyumba bei rahisi?
2) Ni biashara gani naweza kufanya kama muhamiaji?
3) Is it worth it kwenda huko??
Ni hayo tu wakuu
 
Usije kwa sasa tafta $1500 nitafte nikupe mwongozo
 
Unataka ukashangae vitu amazing na magorofa kule lakini hujui utaishije. mfano ukienda kule bila kufahamiana na yoyote ukakamatwa nani atakutolea mdhamana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…