Wakuu kuna uwezekano wa mtu kuhama shule ya serikali kwenda nyingine ya serikali kama yuko kidato cha tano muhula wa kwanza?
Na kama inawezekana ni process gani zinafuatwa?
Nitashukuru kwa msaada wenu. Kuna dogo tunataka kumuhamisha.
Inawezekana,kaombe nafasi kwenye shule unayotaka kwenda,ukikubaliwa kwa maandishi,chukua hiyo barua peleka shuleni kwako,baada ya hapo mchakato wa kuhamisha taarifa zako wilayani unaanza/wilaya ya xul unayotoka,.....

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.