mbisom ramos JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 812 Reaction score 397 Jun 22, 2014 #1 Salaam wadau, kwa yeyote anayeweza kunisaidia nimeajiriwa mwaka huu niko wilaya ya Lushoto nataka kurudi Tanga mjini au mkinga kwa anayeweza kunipa msaada jinsi gani naweza kuhama.
Salaam wadau, kwa yeyote anayeweza kunisaidia nimeajiriwa mwaka huu niko wilaya ya Lushoto nataka kurudi Tanga mjini au mkinga kwa anayeweza kunipa msaada jinsi gani naweza kuhama.
N Nsumbanzunya Senior Member Joined Jun 13, 2014 Posts 177 Reaction score 42 Jun 22, 2014 #2 Kama umeajiliwa mwaka huu subili utimize miezi 8 kwanza ndo uanze kutuuliza au kama unataka uhamisho wa ndani ya wilaya utapa fasta
Kama umeajiliwa mwaka huu subili utimize miezi 8 kwanza ndo uanze kutuuliza au kama unataka uhamisho wa ndani ya wilaya utapa fasta