Naomba ushauri kwa watu wenye ujuzi wa hili.
Ukiwa umeajiriwa taasisi 'x' kwenye kada ambayo ina uhusiano mdogo na kile ulichosomea na ukaona kuna nafasi taasisi y ambayo ndio ina uhusiano wa 100% na kile ulichosomea, unaweza kuomba kuhamia hiyo taasisi 'y'?
Je, inachukua muda gani kuomba kuhama baada ya kuajiriwa? Je, mshahara utaendelea ule wa taasisi mpya?
Natanguliza shukrani.
Well noted mkuu, thanksNdio unaweza kuhama kutoka taasisi X kwenda taasisi Y iwapo mambo yafuatayo yatakua yamefanyika kw mujibu wa utaratibu:-
Umethibitishwa kazini; Taasisi Y wana nafasi ya kukupokea kwa position husika kwenye ikama yao; na Taasisi X wameruhusu kukuachia.
Muda wa kuhama baada ya kuajiriwa unavary sana kwa kutegemea na mambo kadhaa ila kimsingi ukishathibitishwa kazini hua unakua eligible kuhama kama mwajiri wako hana tatizo. Waajiri wengine wanataka mtu afanye kazi angalau miaka 3 kabla ya kuhama kwenda kwa mwajiri mwingine.
MSHAHARA unaenda kufuata scale ya taasisi unayoenda kufanya kazi ( taasisi mpya)Naomba ushauri kwa watu wenye ujuzi wa hili.
Ukiwa umeajiriwa taasisi 'x' kwenye kada ambayo ina uhusiano mdogo na kile ulichosomea na ukaona kuna nafasi taasisi y ambayo ndio ina uhusiano wa 100% na kile ulichosomea, unaweza kuomba kuhamia hiyo taasisi 'y'?
Je, inachukua muda gani kuomba kuhama baada ya kuajiriwa? Je, mshahara utaendelea ule wa taasisi mpya?
Natanguliza shukrani.
Unahama muda wowote. Check number ikisoma tu.Ndio unaweza kuhama kutoka taasisi X kwenda taasisi Y iwapo mambo yafuatayo yatakua yamefanyika kw mujibu wa utaratibu:-
Umethibitishwa kazini; Taasisi Y wana nafasi ya kukupokea kwa position husika kwenye ikama yao; na Taasisi X wameruhusu kukuachia.
Muda wa kuhama baada ya kuajiriwa unavary sana kwa kutegemea na mambo kadhaa ila kimsingi ukishathibitishwa kazini hua unakua eligible kuhama kama mwajiri wako hana tatizo. Waajiri wengine wanataka mtu afanye kazi angalau miaka 3 kabla ya kuhama kwenda kwa mwajiri mwingine.
Unahama muda wowote. Check number ikisoma tu.
Sasa ndio haisubiri mpaka Uthibitishwe kazini ndio uweze kuhama.Uhamisho ni pale mshahara unaposoma pale ulipo. Kama uko TCRA ila mshahara wako unatokea Halmashauri, wewe umeazimwa. Ili usomeke umehama, taarifa zako kwenye HCMIS inabidi zireflect sehemu ulipo.
Sidhani kama umemuelewa jamaa vizuri.Sasa ndio haisubiri mpaka Uthibitishwe kazini ndio uweze kuhama.
Maana tukisema mpaka taarifa zisome ktk Hcmis Kuna watu wale wa zamani wenye check numbers za zamani na wengine hawana kabisa check number ktk mfumo wa HCMIS hao hawawez kuhama?
Ajira mpya almost wote wana check number na wanapata kirahisi compared na wale wa zamani kutokana na mfumo huu mpya.
So ukishapata check number means mshahara pia unasoma. Sasa hapo hata kama umekaa miezi miwili unaweza kuhamishwa sehem nyingine bila kusubiri uthibitisho.
Na ishu ya kuhama sio lazima kule au unakotoka wakupe ruhusa. Maana (KM) ana Mamlaka ya kukupeleka popote pale kwa muda wowote anaohitaji. Hakuna maswali ni maelekezo tu.
Ukiamua kuhama mwenyewe itabidi ukubaliane na mshahara wa taasisi unayohamia hata kama upo chini ya taasisi unayofanyia kazi sasa hivi, ukiamishwa mshahara wako wa unapotokea utabaki vilevile hata kama taasisi unayopelekwa mshahara wake ni mdogo.Naomba ushauri kwa watu wenye ujuzi wa hili.