MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
Mkuu mbona kwenye kuhakiki hiyo kitu ya kuulia wenzio umewahi tena wa kwanza lkn kwenye kuhakiki vyeti vyenu mbona imekuwa kama ni vitta hebu mwambie kijana wako bashiti afanye/mfanye kama yule gavana wa kenya anaesingiziwa amefoji ili wananchi Tupate kupumua.