B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Feb 11, 2014 #1 Tulishasikia wafanyakazi mbali mbali wakigoma au hata wanafunzi. Lakini sasa hii ya wafanyabiashara sijawahi kuisikia tangu utotoni. Tatizo ni serkali au Wanunuzi. Nia ya muuzaji siku zote ni kuuza apate faida leo kulikoni hawataki faida ?
Tulishasikia wafanyakazi mbali mbali wakigoma au hata wanafunzi. Lakini sasa hii ya wafanyabiashara sijawahi kuisikia tangu utotoni. Tatizo ni serkali au Wanunuzi. Nia ya muuzaji siku zote ni kuuza apate faida leo kulikoni hawataki faida ?
M mzekinyesi Member Joined Feb 19, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Feb 14, 2014 #2 Serikali inakusanya kodi Kwa nguvu hawatoi elimu Kwa Sarah