Kufungwa ufahamu.

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Hii dunia ina mengi na ubaya mambo mengi mazito yapo katika ulimwengu usioonekana au ulimwengu wa kiroho.
Kuna watu hawasongi mbele kimaendeleo au wanakuwa watumwa wa watu Fulani miaka na miaka na ubaya Zaidi wanaambulia mishaara kidogo sana.

Watu hawa huwa wamenasa haswa kwani ukiwaambia hawaambiliki na hawashauriki wao wako bize na kitu wanachokifanya.
Hii ni kwa sababu nyota yao imechukuliwa na wachawi kwa hiyo wanakuwa controlled kama mtu anapokua na remote yake anawasha TV au Radio ndani kwake.

Hawa watu hawajielewi kwani wanakua wamefungwa akili, nguvu na utashi kwa hiyo wanakuwa possessed na wachawi spiritual.
Hapa ndipo tunaposikia habari za misukule, Kumbuka wapo misukule wanaaonekana na wasiionekana.
Sasa hawa walioibiwa nyota zao ni misukule wanaoonekana.
Kama akili ziechukuliwa huyo mtu huitwa ndondocha... wapo misukule wa aina nyingi kulingana na potential waliyochukuliwa eitha biashara, elimu, sanaa, uongozi n.k

NB: YESU KRISTO ndie suluhisho la matatizo yote haya, Ewe ndugu jiimarishe kiimani ili wachawi wasikunase kwenye mitego yao. Mtafute MUNGU sana na pia msaidie/wasaidieni wale watu mnaoona hawaeleweki katika jamii. Kwa mfano mtu anafanya kazi kama punda, hali hanywi lakini kwao haionekani senti! sasa pesa inaendwa wapi?
Wapo watumishi wa MUNGU wanaoelewa haya mambo natumaini watatoa msaada mkubwa kwa watu wenye matatizo mbalimbali.
 
Walio CCM wanahusika hapa, maana ukiwa mwanachama wa CCM lazima akili yako inyofolewe ili uwe kama "zuzu" vile. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nyege nyege nye kwetu Mwanza nyegeziiNyege nyege nye kwetu Mwanza nyegezii
 
Mkuu hapo kwenye Yesu ndo umekuja haribu mada kabisa.. Hizi dini hizi zinawapoteza wengi sana... Ungejitaidi tafuta njia ambazo kila mwenye imani yake anaeza itumia kutatua hill tatizo mana JF inasomwa na Wengi
 
Mkuu hapo kwenye Yesu ndo umekuja haribu mada kabisa.. Hizi dini hizi zinawapoteza wengi sana... Ungejitaidi tafuta njia ambazo kila mwenye imani yake anaeza itumia kutatua hill tatizo mana JF inasomwa na Wengi
YESU ndie njia pekee hamna njia nyingine labda ubaki huko huko kwa shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…