D David kulwa Member Joined Sep 18, 2016 Posts 29 Reaction score 2 Oct 1, 2016 #1 Wana JF naomba kuuliza iv vyuo vitafunguliwa pamoja au kila chuo kina fungua kivyake
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,649 Reaction score 57,042 Oct 1, 2016 #2 Vyuo gani? Vya diploma au degree kama ni kufungua me najua kila chuo kivyake
mpiga era JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,078 Reaction score 2,269 Oct 1, 2016 #3 Jibu ni baada ya neno au kwenye sentesi yako
T thomaskitomari JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 472 Reaction score 204 Oct 2, 2016 #4 kila chuo kivyake ndugu
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,956 Reaction score 134,035 Oct 2, 2016 #5 Ukitaka kujua uwezo na rangi halisi za wadogo zetu,tembelea jukwaa la Elimu.It's so sad
optico JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 267 Reaction score 309 Oct 2, 2016 #6 Vinafuguliwa pamoja baada ya ustadh mkuu wa kila msikiti kuthibitisha usajili wa wanafunzi