Kufungua clinic ya meno

Bensoy

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
576
Reaction score
625
Wadau salam,

Ninatamani kufungua clinic ya meno. Kama kuna mtaalamu wa meno huku anayejua ABC's ya kuniwezesha kufungua natanguliza shukrani.

Nataka kujua muundo, vifaa na gharama zake na process zote za kusajili hadi ianze.
Napatikana Dar es salaam kwa namba 0719794789
 
Kuna mtu naweza kukutumia namba yake pm....naimani anaweza kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…