Rungu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 3,932 Reaction score 1,727 Dec 7, 2015 #21 simplemind said: I too I am Tanzania I qualify. Click to expand... Are you Tanzania or just a Tanzanian?
simplemind said: I too I am Tanzania I qualify. Click to expand... Are you Tanzania or just a Tanzanian?
keynessian JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 591 Reaction score 423 Dec 8, 2015 #22 kipipili said: Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua ya akiba benki ya dunia? Click to expand... Naomba kufahamu elimu yako tafadhali? Maana haya maswala ya Breton woods institutions na function zake niliyafahamu nilipokua olevel
kipipili said: Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua ya akiba benki ya dunia? Click to expand... Naomba kufahamu elimu yako tafadhali? Maana haya maswala ya Breton woods institutions na function zake niliyafahamu nilipokua olevel
DALA JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,259 Reaction score 4,691 Dec 8, 2015 #23 Isanga family said: Benk zetu za kichimba chumvi wakikosea figure tuu 50,000 wakaweka 5000 unaenda na panga kwa meneja ndio utake kufungua account za nje.. Click to expand... I never miss comics from JF me loving it
Isanga family said: Benk zetu za kichimba chumvi wakikosea figure tuu 50,000 wakaweka 5000 unaenda na panga kwa meneja ndio utake kufungua account za nje.. Click to expand... I never miss comics from JF me loving it
kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 188 Dec 8, 2015 Thread starter #24 kwa hiyo barua ya serikali ya mtaa itahitajika pia
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,352 Reaction score 118,907 Dec 8, 2015 #25 simplemind said: I too I am Tanzania I qualify. Click to expand... Nilifikiri nchi Tanzania ni Nchi moja tu hapa duniani,sikujua kama na wewe ni Tanzania.
simplemind said: I too I am Tanzania I qualify. Click to expand... Nilifikiri nchi Tanzania ni Nchi moja tu hapa duniani,sikujua kama na wewe ni Tanzania.
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Dec 8, 2015 #26 Mkuu ni rahisi tu, panda pipa hadi uswiswi.
kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 188 Dec 8, 2015 Thread starter #27 stineriga said: Mkuu ni rahisi tu, panda pipa hadi uswiswi. Click to expand... uswiswi IPO bara gani?
stineriga said: Mkuu ni rahisi tu, panda pipa hadi uswiswi. Click to expand... uswiswi IPO bara gani?
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,976 Reaction score 2,044 Dec 8, 2015 #28 K kipipili said: Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua akaunti ya akiba benki ya dunia? Click to expand... Kwa nini unataka akaunti WB?
K kipipili said: Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua akaunti ya akiba benki ya dunia? Click to expand... Kwa nini unataka akaunti WB?
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,225 Reaction score 45,912 Dec 8, 2015 #29 kipipili said: uswiswi IPO bara gani? Click to expand... labda ile uswiswi mbarali huko..wataalamu wa kiswahili wangeacha majina ya nchi zibaki kama zilivo kujua jina la Nchi nalo Mpaka usome maana kupata tafsiri tena ya Egypt,Mozambique au Greece na nyinginezo nyiingi tuu..
kipipili said: uswiswi IPO bara gani? Click to expand... labda ile uswiswi mbarali huko..wataalamu wa kiswahili wangeacha majina ya nchi zibaki kama zilivo kujua jina la Nchi nalo Mpaka usome maana kupata tafsiri tena ya Egypt,Mozambique au Greece na nyinginezo nyiingi tuu..
J JERIKO New Member Joined Jan 21, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Dec 8, 2015 #30 Kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani?