Kumbuka pia kuna TFDA mkuu. Maadamu unahusika na chakula wao ndio wa kwanza kabla ya TBS. Kuhusu vifungashi nenda Omar packaging Nyerere road. Ila wanahitaji utoe vifungashi vingi kiasi cha kilo 500 hivi. Sina mawasiliano yao ni kampuni tanzu ya Adam Ila walikuwepo maonyesho ya sabasaba.