Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
Kuna taratibu zinafuatwa-kupata kibali kwa shughuli za namna hiyo toka kwa serikali. Yaani ulidhani wanajifungia tuu???
Vibal lazima vitolewe ila kwa hal ya kawaida kwa jiran yako kuna msiba or harusi bado utataka ukatishe hapo hapo mkuu
ubinadamu kazimjini kati inakua usumbufu bhana
hakuna kibali kisichokua ma muda maalum, unategemea maombi yakoHvyo vibali vina mda maalum???
Kama mara nne hivi nimeshuhudia barabara za kati kati ya mji zinafungwa sababu ya msiba. Unakuta nyumba flani kwenye hiyo barabara ina msiba so barabara inafungwa kwa ajili ya shughuli za kimsiba kufanyikia hapo.
basi me nkazan wanajifungia tu.....bt inakua kero cz kama leo me nmelazimika kuchoma mafuta zaidi kutafuta njia nyngine.....
CZ ndo mavi gani mburula wewe?
Kuna mtaa nimepita hapa maeneo ya makao mapya arusha nimekuta mtaa umefungwa kwasababu ya arobaini.. Sasa wafanya biashara wanalalamika sana kwa kukosa biashara kwa wapita njia hiyo kupungua kwa kiasi kikubwa.. Mhusika mmoja akajibu kwa jeuri kwamba wamelipia!!! Je ni halali kufunga barabara?? Na je hiyo ruhusa inatolewa na nani?? Je kila mtu mwenye shughuli akaamua kufunga barabara mambo yataenda kweli??
Punguza jazba na matusi. Haya maliza kuunnyaa uje hapa tena umuombe mleta mada msamaha. Chura wa kihansi wewe.CZ ndo mavi gani mburula wewe?
Tanga hiyo tulishazoea....tena uzuri huku kila siku kuna maulidi