Kufundisha Forex

Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa

Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.

Msaada zaidi njoo PM

Msaada zaidi PM

unataka commission za watu,,eh?[emoji3]
 
Kama hutaki apate commission mpatie pesa yako ya mfukoni basi.
sio lazima ya mfukoni si akaitafute huko kwenye hilo mnalodai ni soko la forex sijui au lenyewe halitoi pesa. Mpaka iwe commission
 
Kwani huko akichukua na huku akichukua kuna shida na kuna sehemu yengine pia achukue wewe inakuuma nini yeye kuchukua kote.
 
basi kama ni hivo nitakuja niwe special kwenye commission bwana huko kwingine sigusi sitaki hasara bwana haya na we njoo uiname nikupe uwe unapata kote kote
 
Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa

Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.

Msaada zaidi njoo PM
 
Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa

Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.

Msaada zaidi njoo PM

Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa

Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.

Msaada zaidi PM

Wadau mimi ndio nimeanza na Demo account ya Templer kwa capital ya 10000$.
Siku 2 tu profit 224$
Position EUR/USD. Je forex ni rahisi kiasi hiki ?
 
Sio rahisi kiasi hicho, jaribu kupunguza hiyo amount mpaka atleast $100 uone uhalisia wake, hiyo amount uliyoanza nayo ni kubwa mno kupima uwezo wako labda kama utaweza kudeposit hiyo amount at first.
 
Endelea endelea kidogo kama Week hadi mwezi utaona ipoje.
 
Sio rahisi kiasi hicho, jaribu kupunguza hiyo amount mpaka atleast $100 uone uhalisia wake, hiyo amount uliyoanza nayo ni kubwa mno kupima uwezo wako labda kama utaweza kudeposit hiyo amount at first.
Mkuu unapunguzaje kuwa $ 50 mpaka 100
 
Wadau mimi ndio nimeanza na Demo account ya Templer kwa capital ya 10000$.
Siku 2 tu profit 224$
Position EUR/USD. Je forex ni rahisi kiasi hiki ?
Aisee kumbe $ 10,000 hamna uharisia hata kidogo utaweza Deposit Million 20+ ukianza Real.
 
Sio rahisi kiasi hicho, jaribu kupunguza hiyo amount mpaka atleast $100 uone uhalisia wake, hiyo amount uliyoanza nayo ni kubwa mno kupima uwezo wako labda kama utaweza kudeposit hiyo amount at first.
Kwenye real account siwezi kuanza na hicho kiwango
 
Mkuu unapunguzaje kuwa $ 50 mpaka 100
Fungua ACC ya demo kupitia member area ndo utaweza set mtaji utaoendana na uhalisia wa mtaji utakaoanza nao .Forex sio rahisi ,hata ikitokea iumepata faida miezi miwli mfululizo bado usijione unajua,nenda taratibu, na endelea kuwa na nidhamu na soko
 
Member area ndionini/ndiowapi
 
Member area ndionini/ndiowapi
unajisali kwa broker kupitia website yake mfano broker Templer,anakutumia credentials ktk email yako zitakuzokuwezesha kuingia sehemu ambayo traders wa broker husika wanaweza fungua ACC ya live na demo,kudeposit na kuwithdrawal na nk
Kwa hiyo demo ukifungulia huko member area utajisetia mwenyewe amount unayotaka uifanyie practice tofauti na ile demo unayofungulia moja kwa moja kwa mt4 inayokuwa na mtaji ambao haupunguziki sana kwa kiwango utachohitaji
 
Account kilakitu ninayo hiyo Setting ya kufanya hivyo ndio sijajua naipata wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…