Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 72
- 87
😂😂😂Tuition ya ku download mapesaa ontario wap kunaa njuka huku
Forex haifundishwi mkuu unakomaa mwenyewe. Yaani hapo utakuwa umemeza schools of pipsology na pdf kibao akina Munehisa Homma afu unashindwa ku apply kwenye live trading so unakimbilia kufundisha.
Inatakiwa hata angalau uwe umetredi umetuma kitu kama dola laki moja kwa akaunti yako ili utushawishi kuwa you know it.
Afu anayefundisha vizuri ni yule anayetumia zile principle pia kufanya live trading.
Weka kila kitu hapa. Ci unataka wateja?nani amekwambia sitred
unajuwa balance yangu ?
broh mm nimesomea kabisa University
financial and blockchain technology
ukitaka facts zaidi njoo inbox
Hii kitu sio lazima uwe successful kwenye huko ma vyuoni bana.nani amekwambia sitred
unajuwa balance yangu ?
broh mm nimesomea kabisa University
financial and blockchain technology
ukitaka facts zaidi njoo inbox
huyu longolongo nyingi atulie huo utalaamu wake ajizalishie mwenyewe sio kuanza kutafuta za mifukoni mwa watu apambane na solo hukoHii kitu sio lazima uwe successful kwenye huko ma vyuoni bana.
Pia sijawahi muona Warren Buffet a kama wewe.
Weka hapa tuone hata muamala umetuma angalau dola 50k kutoka kwa broker to bank akaunti.
Usituonyeshe trading account mana najua michezo ya huko yote. MIE nahitaji nione muamala Wa bank.
Weka hapa MIE nachoma moto dola buku mkuu bure.
Kuwa mkweli. Cheki nyuzi zangu
Sure mkuu. Fanya mpaka uwe kama aina shezi ndo tutakutafuta wenyeweushauri: "DO IT FOR YOUR OWN"
inshort iko hivi kutrain watu inahitaji muda mwingi sana so etimes unaweza kujikuta unatumia muda mwing kutrain kuliko ku-trade
isitoshe jamii yetu ya kitanzania bado elimu haijakaa kisawasawa
self trading huepusha lawana,DONT DO AC magmnt,dont do Signal service
FOCUS ON YOUR OWN,
happy trading buddy
Hana mbavu eti amefanikiwa na yeye afanye watu wengine wafanikiwe. Hii industry inawatoa za usoi wanakimbilia kuandika vitabu ama kufundisha.huyu longolongo nyingi atulie huo utalaamu wake ajizalishie mwenyewe sio kuanza kutafuta za mifukoni mwa watu apambane na solo huko