U ustawiwajamii Member Joined May 9, 2013 Posts 7 Reaction score 2 May 13, 2013 #21 hapo panatakiwa daladala zigome kutoa ushuru hadi huduma iboreshwe
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 May 13, 2013 Thread starter #22 daladala hapo ni ngumu wao akili mu pesa tu sio mu kichwa LI-NAPE said: hapo panatakiwa daladala zigome kutoa ushuru hadi huduma iboreshwe Click to expand...
daladala hapo ni ngumu wao akili mu pesa tu sio mu kichwa LI-NAPE said: hapo panatakiwa daladala zigome kutoa ushuru hadi huduma iboreshwe Click to expand...
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,671 Reaction score 11,339 May 13, 2013 #23 Ndibalema said: Du! hatupo serious katika kila jambo. Click to expand... Kila kitu ni ANASA hasa ikiwa inamhusu Mtanzania wa kawaida ni sawa na mama/baba anaewapa watoto wake chakula au chai kwenye sahani au kikombe cha plastic kwa hofu ya kwamba atavunja sasa sijui lini atazoea hivyo vitu
Ndibalema said: Du! hatupo serious katika kila jambo. Click to expand... Kila kitu ni ANASA hasa ikiwa inamhusu Mtanzania wa kawaida ni sawa na mama/baba anaewapa watoto wake chakula au chai kwenye sahani au kikombe cha plastic kwa hofu ya kwamba atavunja sasa sijui lini atazoea hivyo vitu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 May 14, 2013 Thread starter #25 RAYHAN said: duh kweli hii ni soo Click to expand... soo sio dogo Rayhan