kufuatilia madai yako halari serikalini ni ghali sana.Hazina,elimu, utumishi fungukeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kufuatilia madai yako halari serikalini ni ghali sana.Hazina,elimu, utumishi fungukeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lihove, Aug 14, 2012.

 1. L

  Lihove JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Toka mwaka 2009 nimekuwa nikishudia wale walimu wastaafu wa singida ambao walipewa mkataba na serikali kufundisha.walimu hawa katika kipindi cha miaka miwili hawakulipwa mishahara ya miezi 15.walinza kufuatilia arrears hizo toka mwaka 2009 january mpaka leo hawajalipwa hata mmoja.licha ya kuambia fedha yao imesha tumwa toka hazina kwenda kwa muajilia wake ambae ni wizara ya elimu.Mheshimiwa Diana Chilolo kuna wakati alipeleka suala hiii bungeni lakini kama ilivyo kawaida aljibiwa kisiasa zaidi.lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa hakuna malipo yalikwishafinyika kwa walimu wale.

  Nasikia mmoja alisha fariki baada ya kukumbwa na retirement stress.waliobaki wamefuatilia sana mpak Wanajuta walianzaje kuikopesha serikali.tunapata somo hapa kama unaidi serikali malimbikizo yoyote yale ujue kabisa hayalipiki labda yawd hewa maana hayo nasikia Huwa yanamaslai kwa watendaji wanakuwa kwenye mchakato wanapata cha juu.kamauko mukoani usijaribu kuja dar kufuatilia maana utaingia kwenye madeni bure mengine maana lazima utakopa tu nauli na fedha za kujikimu na utakutana na zile njoo kesho njoo kesho kibao sana.yaani mfanyakazi w serikali unapofuatilia haki yako kuna vimungu watu wengi sana humu serikalini hasa hazina na utumishi.

  Wengine wengine kati ya watumishi hawa wastaafu fedha zao zimeshatumwa wizara ya elimu lakini pia nilisikia walipokwenda kule elimu wameambiwa fedha zao hazijafika wazee hawa wanaJilaumu na kujutia kuitumikia nchi yao.sasa hawajui cha kufanya.ikumbukwe kuwa wananyaraka zote zilizokuwa zinahitajika.nahisi watafia njiani maana hata umri wao umekwenda sana.zamani nikiwa sielewi kwa nini mtumishi akikosea alikuwa anahamishiwa pembezoni kumbe ni adhabu wakati wa kudai haki zake.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  dah,inauma sana thz country
   
 3. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wewe lokisa hatukuja kujifunzia lugha kiswahili jf. Heshimu mada ya mtu tena yenye uchungu kama hii. Mie kila nikitoka field mikoan nakuja na ma document ya watu kibao dar kuwasaidia angalau kuulizia malipo yao huko kwa miungu watu hazina. Kama huwez kutumikia umma acha kazi uje huku kwetu kwa sekta binafsi kuliko kuwasumbua wazee huko wizarani. Ndo maana wafanyakaz wa ma wizara wanawaza vikao, safari na rushwa tu na kibaya wengine ni vijana kabisa.
   
Loading...