Tafadhari tunaomba pichaUkitaka kuishi kwa afya njema fuata ushauri wa daktari wako katika kila kitu anacho kuzuia usitumie kwa uhifadhi wa afya yako na ukitaka kuishi kwa furaha fuata ushauri wa mchungaji wako maana atakuambia kula kila kinachowekwa mbele yako bila kuuliza uliza maana imeandikwa hivyo katika Biblia
Hahaaa tecno ndo habari ya waliokaziwa vyuma au uongo?Andika vizuri basi, kwani unakimbilia wapi au unatumia tecno
Aisee! Picha tena ipi, ni bora bila picha kuliko uliyoiweka maana ....!Tafadhari tunaomba picha
Mkuu naomba unipe maandiko katika Quran au Biblia yanayosema kula kila kitu.Ukitaka kuishi kwa afya njema fuata ushauri wa daktari wako katika kila kitu anacho kuzuia usitumie kwa uhifadhi wa afya yako na ukitaka kuishi kwa furaha fuata ushauri wa mchungaji wako maana atakuambia kula kila kinachowekwa mbele yako bila kuuliza uliza maana imeandikwa hivyo katika Biblia
Sawa mkuu; soma Biblia 1Kor 10:27Mkuu naomba unipe maandiko katika Quran au Biblia yanayosema kula kila kitu.
ASANTE