Kama ni biashara basi jukwaa husika ni jukwaa la matangazo, ukipata wasaa pitia vizuri thread za hili jukwaa utaona limebase kuelemishana na kutoa solutions za mambo ya tech na science na sio marketing.